Home Tags Isaac Mwaura

Tag: Isaac Mwaura

Watu wawili zaidi wafariki kutokana na mafuriko hapa nchini

0
Watu wawili zaidi wameripotiwa kufariki kutokana na mafuriko katika muda wa saa 24 zilizopita, na kufikisha idadi jumla ya waliofariki kutokana na janga hilo...

Watu 228 wafariki kutokana na mafuriko

0
Jumla ya watu 228 wamefariki kote nchini kutokana na athari za mafuriko ya mvua baada ya wengine 9 kuaga dunia, ndani ya saa 24...

Serikali kugharamia bili za hospitali za waathiriwa wa mkasa Maai Mahiu

0
Serikali italipa gharama zote za hospitali kwa waathiriwa wa mafuriko katika eneo la Maai Mahiu. Hayo ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali Isaac...

Matukio ya Taifa: Msemaji wa serikali asema mgomo wa madaktari ni...

0
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amewataka madaktari kurejea kazini na kusitisha mgomo wao ambao umeingia wiki ya tatu akisema kuwa mgomo huo ni kinyume...

Mwaura: Serikali imeanzisha uchunguzi kuhusu mbolea bandia

0
Serikali imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya kuwepo kwa mbolea feki katika baadhi ya maghala ya halmashauri ya kitaifa ya nafaka na mazao, NCPB. Msemaji wa...

Idadi ya waliofariki katika mkasa wa moto Embakasi yaongezeka

0
Idadi ya waliofariki katika mkasa wa moto uliotokea Embakasi Jiji Nairobi, imeongezeka hadi watu watatu. Akithibitisha hayo alipozuru eneo la mkasa Ijumaa asubuhi, msemaji wa...

Serikali kukata rufaa kuhusu uamuzi wa Mahakama wa kupelekwa kwa polisi...

Msemaji wa serikali Isaac Mwaura, amesema serikali itakata rufaa dhidi ya uamuzi wa hivi majuzi wa mahakama, uliopiga marufuku baraza la taifa la usalama...

Idadi ya raia wa kigeni wanaowasili nchini yaongezeka kwa asilimia 18.42

0
Serikali imetangaza kuimarika kwa sekta ya utalii, huku idadi ya raia ya kigeni wanaoingia humu nchini ikiongezeka kwa asilimia 18.42. Akizungumza siku ya Alhamisi, msemaji...

Marekani yaipa Kenya shilingi milioni 150 kukabiliana na athari za mafuriko

0
Kenya imepokea msaada wa shilingi milioni 150 kutoka serikali ya Marekani, kusaidia mikakati ya kukabiliana na athari za mafuriko. Akizungumza wakati wa kuzindua msaada huo,...

Mwaura: Kiwango cha mvua hapa nchini kuongezeka

Serikali imesema mvua zaidi itanyesha katika maeneo kadhaa hapa nchini hadi tarehe 23 mwezi huu. Vile vile serikali imewahimiza Wakenya, hasa walio katika sehemu za...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS