Home Tags Iran

Tag: Iran

Ruto amwomboleza Rais wa Iran Ebrahim Raisi

0
Rais William Ruto amemwomboleza rais wa Iran Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya ndege Jumapili. Ruto kupitia mtandao wa X siku ya Jumatatu alimtaja...

Viongozi wamwomboleza Rais wa Iran Ebrahim Raeisi

0
Viongozi kadhaa wa Ulimwengu wametoa risala za rambirambi kufuatia kifo cha Rais wa Iran Ebrahim Raeisi, jumapili jioni baada ya ndege aina ya helikopita ...

Rais wa Iran athibitishwa kufariki kwenye ajali ya ndege

0
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake wa masuala ya nchi...

Hatma ya Rais wa Iran Raeisi haijulikani baada ya ndege yake...

0
Hatma ya Rais wa Iran Ebrahim Raeisi haijulikani, baada ya ndege ya helicopter aliyokuwa ameabiri kuanguka eneo la Jolfa kaskazini mashariki kwa Azerbaijan....

Kambi ya Iraq inayowaunga mkono wanamgambo wa Iran yashambuliwa

Kambi ya kijeshi nchini Iraq inayowahifadhi wanamgambo wanaoiunga mkono Iran imeharibiwa katika mlipuko, na kuuwa mtu mmoja na kujeruhi wanane, maafisa wa usalama wamesema. Jeshi...

Spika Wetang’ula asema Kenya iko tayari kuendeleza uhusiano mwema na Iran

0
Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula leo asubuhi alikuwa mwenyeji wa balozi wa taifa la Kiisilamu la Iran nchini Kenya Ali Gholampour, aliyemtembelea...

Iran yasema haikuhusika kwenye mashambulizi ya Jordan

0
Iran imekana madai kwamba ilihusika katika utekelezaji wa mashambulizi ya droni huko Jordan ambayo yalisababisha vifo vya raia watatu wa Marekani na wengine kadhaa...

Iran yashambulia meli ya mizigo ya Israel

0
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone...

Iran yakanusha madai ya adhabu kali dhidi ya Ronaldo

0
Ubalozi wa Iran nchini Uhispania umekanusha madai kwamba mchezaji soka wa kimataifa Cristiano Ronaldo amehukumiwa adhabu ya viboko 99 nchini Iran. Taarifa zilisambaa kwamba mawakili...

Mwanaharakati wa Iran Narges Mohammadi ashinda tuzo ya Nobel

0
Mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Iran Nagres Mohammadi, ametangazwa mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2023. Bi Mohammed ametambuliwa kutokana na juhudi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS