Home Tags Inua Jamii

Tag: Inua Jamii

Serikali yatoa shilingi bilioni 2 za Inua Jamii

0
Serikali imetoa shilingi bilioni 2.09, yakiwa malipo kwa waliojisalili kwa mpango wa Inua Jamii na kiwango kingine cha shilingi milioni 6.1 kwa mpango wa...

Zinga: Watakaofaidika na mpango wa Inua Jamii ni hawa

0
Wananchi wanaopata mgao wa fedha kutoka kwa serikali kupitia mradi wa Inua Jamii wamekuwa wakitaka serikali kuongeza mgao huo, lakini ni hatua zipi ambazo...

Watu zaidi ya 700,000 wasajiliwa kwa mpango wa Inua Jamii

0
Watu zaidi ya 700,000 wameandikishwa katika zoezi linaloendelea la usajili wa watu wanaonufaika na Mpango wa Inua Jamii.  Zoezi hilo ambalo limeingia wiki ya pili...

Wakenya zaidi ya 600,000 wasajiliwa chini ya mpango wa Inua Jamii

0
Wakenya 601, 539 wanaostahiki kusajiliwa chini ya mpango wa Inua Jamii walisajiliwa na serikali kufikia leo Jumatatu asubuhi.  Mpango huo unalenga kuwasajili wazee, watoto mayatima,...

Usajili wa watakaonufaika na mpango wa Inua Jamii kuanza Septemba 1

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali inaweka mikakati endelevu ya kusajili wazee na makundi yasiyojiweza katika jamii.  Amesema hii itasaidia kuokoa rasilimali za serikali katika...

Fedha za Inua Jamii kutolewa tarehe 15 kila mwezi

0
Serikali imelainisha mifumo yake ili kukomesha uchelewashwaji wa fedha za Hazina ya Inua Jamii, kwa mujibu wa Katibu katika Idara ya Uhifadhi wa Jamii...

Wazee kupokea shilingi 8,000 za kuwakimu kimaisha

0
Wazee kwa mara nyingine wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuanza kupokea malimbikizi ya malipo yao ya kila mwezi ya kuwakimu kimaisha leo...

Serikali yatoa shilingi bilioni 16.7 za Mpango wa Inua Jamii

0
Serikali imetoa shilingi bilioni 16.7 kwa zaidi ya watu milioni moja wanaonufaika na Mpango wa Uhamishaji Fedha wa Inua Jamii. Fedha hizo ni za kipindi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS