Tag: Inspekta Mkuu wa Polisi
Rais Ruto amteua Douglas Kanja kuwa Inspekta Mkuu wa Polisi
Rais William Ruto amemteua Douglas Kanja kuwa Inspekta Mkuu wa Polisi.
Kanja kwa sasa anakaimu wadhifa huo kufuatia kujiuzulu kwa Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet...
Watatu kwenye kinyang’anyiro cha Inspekta Mkuu wa Polisi
Maafisa watatu wanawania kiti cha Inspekta Mkuu wa Polisi kumrithi Japhet Koome aliyejiuzulu wiki iliyopita.
Watatu hao ni pamoja na kaimu Inspekta Mkuu Douglas Kanja,Kamanda...
Fanya fujo uone, aonya Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome
Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS imeapa kuwa maandamano yoyote yatakayofanywa kesho Jumatano yatakabiliwa vikali kwa mujibu wa sheria.
Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome...