Tag: Indonesia
Mlipuko wa volkano waua watu 10 Indonesia, wateketeza nyumba
Volkano mashariki mwa Indonesia ililipuka usiku wa kuamkia leo Ijumaa na kuua watu wasiopungua 10 wakati ikitoa miale ya moto na majivu katika vijiji...
Waziri Mvurya afungua maonesho ya biashara ya INDONEX jijini...
Waziri wa Biashara,uwekezaji na viwanda Salim Mvurya, amefungua rasmi maonesho ya kibiashara ya Indonesia jijini Nairobi maarufu kama Indonesia Nairobi Expo (INDONEX) 2024,kuadhimisha miaka...
Mafuriko ya muda yasababisha vifo Indonesia
Mafuriko ya muda na maporomoko ya ardhi katika kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia vimesababisha vifo vya watu wapatao 19 huku wengine saba wasijulikane waliko...
Rais Suluhu awasili Indonesia kwa ziara ya siku tatu
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amewasili nchini Indonesia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu.
Anasema ziara hiyo inafuatia mwaliko wa Rais wa Indonesia Joko...
Raia wawili wa kigeni wakamatwa na pembe za ndovu
Raia wa Indonesia amekamatwa akiwa na kilo 38.4 ya pembe za ndovu za thamani ya shilingi milioni kumi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
Rais Joko Widodo wa Indonesia azuru Kenya
Rais wa nchi ya Indonesia, Joko Widodo yuko nchini Kenya kwa ziara ya kikazi. Alilakiwa katika Ikulu ya Nairobi na Rais William Ruto na...
Kenya yaboresha mazingira kuvutia wawekezaji
Kenya imeboresha mazingira yake ya kibiashara na kisheria ili kuhakikisha uwekezaji na haki ya kumiliki mali vinalindwa ipasavyo.
"Hatua hizi za kimkakati hatimaye zitaifanya Kenya...
Indonesia kuisaidia Kenya kujitosheleza kwa mafuta ya kupikia
Wizara ya Biashara inasema Indonesia itaisaidia Kenya kuwa na mafuta ya kutosha ya kupikia kupitia kilimo cha mafuta ya mawese, yale ya alizeti na...