Home Tags India

Tag: India

Ruto ampongeza Modi kwa kushinda uchaguzi India

0
Rais William Ruto amempongeza Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo siku chache zilizopita. Aidha, Ruto amewapongeza...

Ruto: Uboreshaji uhusiano kati ya Kenya na India utaimarisha ajenda yetu...

0
Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano wake wa pande mbili na India.  Rais William Ruto amesema Kenya na India zinashirikishana uhusiano wa kihistoria ulioanza katika karne ya...

Rais Ruto awasili India kwa ziara ya siku mbili

0
Rais William Ruto amewsili nchini India kwa ziara ya siku mbili leo Jumatatu baada ya kuhudhuria kongamano la tabia nchi la Umoja wa Mataifa,...

Ofisi ya Benki ya Exim ya India kuwa Nairobi

0
Serikali ya Kenya imeridhia ombi la Benki ya Exim ya India la kutaka Ofisi yake Wakilishi ya Afrika Mashariki iwe jijini Nairobi.  Waziri mwenye Mamlaka...

Benki ya Equity yang’aa kwa kujizolea tuzo tatu India

0
Benki ya Equity iko na kila sababu ya kutabasamu baada ya kupokea tuzo tatu za kifahari kwenye Tuzo za Ufadhili wa Biashara Ndogo na...

India yawania maandalizi ya Michezo ya Olimpiki mwaka 2036

0
India imetangaza kuwania maandalizi ya michezo ya Olimpiki ya mwaka 2036 ikishindana na Poland na Indonesia. Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amethibitisha utashi wa...

Walemavu wapatiwa viungo bandia Meru

Watu 140 ambao walipoteza miguu na mikono katika mazingira tofauti katika kaunti ya Meru, wamepokea viungo bandia kwa hisani ya Hindu Samaj Meru, shirika...

Dunia wiki Hii: Kongamano la 15 la BRICS laandaliwa Afrika Kusini

0
Kongamano la 15 la jumuiya ya mataifa ya BRICS kilifanyika nchini Afrika Kusini ambapo masuala mengi yakijadiliwa. viongozi wa muungano huo walitoa wito kwa...

Mamia watoroka mafuriko Delhi

0
Mamia ya wakazi wamehamishwa katika mji mkuu wa India,Delhi huku viwango vya maji mtoni Yamuna vikiendelea kupanda. Kulingana na waziri Arvind Kejriwal,kiwango cha maji katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS