Tag: IGP
Watatu kwenye kinyang’anyiro cha Inspekta Mkuu wa Polisi
Maafisa watatu wanawania kiti cha Inspekta Mkuu wa Polisi kumrithi Japhet Koome aliyejiuzulu wiki iliyopita.
Watatu hao ni pamoja na kaimu Inspekta Mkuu Douglas Kanja,Kamanda...
Koome akutana na ujumbe wa usalama kutoka Haiti
Kamishnaa Mkuu wa Polisi Japheth Koome alikutana na wajumbe wa usalama kutoka taifa la Haiti siku ya Jumatano katika afisi yake katika kaunti...
Inspekta Mkuu wa Polisi atakiwa kutoa ushahidi wa kukodiwa kwa miili
Wahudumu wa vyumba vya kuhifadhi maiti kote nchini wamemtaka Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome kutoa ushahidi wa miili iliyokodiwa na wanasiasa wa upinzani...