Home Tags IGAD

Tag: IGAD

Kenya yatia saini Itifaki ya IGAD ya uhamishaji mifugo

0
Kenya imetia saini rasmi itifaki ya IGAD juu ya uhamishaji mifugo, na kuwa nchi ya tano kuidhinisha makubaliano hayo yenye lengo la kudhibiti uhamishaji...

IGAD yawataka majenerali wa Sudan kujadiliana na kumaliza vita

0
Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Kiserikali, IGAD umetoa wito kwa pande zinazozozana nchini Sudan kukubali kusitisha vita na kuwataka majenerali...

Rais Ruto kuhudhuria mikutano miwili muhimu nchini Uganda

0
Rais William Ruto ataondoka humu nchini leo Alhamisi kuhudhuria mikutano miwili muhimu jijini Kampala, Uganda. Kupitia kwa taarifa, msemaji wa ikulu Hussein Mohamed, alisema Rais...

Rais Ruto awasili Djibouti kwa kikao cha IGAD

0
Rais William Ruto, amewasili Djibouti Jumamosi alasiri kuhudhuria mkutano wa 41 usio wa kawaida wa shirika la IGAD, kutafuta suluhu la mzozo...

Rais Ruto kuhudhuria mkutano wa IGAD nchini Djibouti

0
Rais William Ruto siku ya Jumamosi atasafiri kuelekea nchini Djibouti, kuhudhuria mkutano wa 41 wa viongozi wa serikali wa shirika la IGAD. Marais kutoka Eritrea,...

IGAD yatoa wito wa kusitishwa kwa vita Sudan

0
Shirika la IGAD limeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu inayozorota nchini Sudan. Dkt. Workneh Gebeyehu, ambaye ni katibu mtendaji wa IGAD kuhusu mchakato wa...

Ruto: Umoja ni muhimu katika kutatua mzozo Sudan

0
Kenya inaunga mkono mchakato wa pamoja wa kutatua mzozo nchini Sudan.  Mapigano makali yamekuwa yakishuhudiwa Sudan yakihusisha jeshi la nchi hiyo likiongozwa na Jenerali Abdel...

IGAD yapitisha mfumo wa sera za masuala ya vijana

0
Mamlaka ya ushirikiano wa kimaendeleo kati ya serikali mbali mbali IGAD imepitisha mfumo wa sera kuhusu vijana katika mkutano wa mawaziri wa masuala ya...

Watu zaidi ya milioni 54 upembe wa Afrika wanahitaji msaada

0
Watu zaidi ya milioni 54 katika eneo la upembe wa Afrika wanahitaji msaada kwa dharura huku athari za mabadiliko ya tabia nchi zikiendelea kudhihirika. Akiongea...

Wapiganaji nchini Sudan wahimizwa kusitisha vita

0
Wahusika katika mzozo wa Sudan, wameombwa kutangaza kusitisha mapigano bila masharti. Rais William Ruto alisema Jeshi la Sudan na Kikosi cha Wanamgambo cha RSF, lazima...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS