Home Tags IEBC

Tag: IEBC

Kesi dhidi ya Sudi ya kughushi vyeti vya masomo kurejelewa wiki...

0
Kesi dhidi ya mbunge wa Kapseret Oscar Sudi ambapo anadaiwa kughushi vyeti vyake ya masomo itatajwa Jumanne wiki hii. Mbunge huyo ameshtakiwa kwa kuwasilisha vyeti...

IEBC yatuzwa kwa kusimamia vema uchaguzi wa mwaka 2022

0
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC ndio mshindi wa Tuzo ya Usimamizi wa Uchaguzi 2023.  IEBC pia ilituzwa baada kuibuka ya pili katika Tuzo...

Ezra Chiloba ajiuzulu kutoka CA

0
Bodi ya Usimamizi katika Mamlaka ya Mawasiliano Nchini, CA imetangaza kwamba imekubali ombi la kujiuzulu kutoka kwa Ezra Chiloba. Katika taarifa iliyotiwa saini na mwenyekiti...

Cherera na Masit: Tulitishiwa, tukajiuzulu na tumepitia mengi

0
Waliokuwa Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC Juliana Cherera na Irene Masit wameelezea masaibu waliokumbana nayo baada ya kujiuzulu nyadhifa zao...

Chebukati: Hatutafika mbele ya kamati kuzungumzia masuala yaliyosuluhishwa

0
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC Wafula Chebukati hatafika mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Mazungumzo kuzungumzia uchaguzi wa mwaka...

Zinga: Pendekezo la kubuni kaunti zaidi, hatua hii inafaa?

0
Mchanganuzi wa masuala ya siasa Martin Andati amepinga pendekezo la kubuni kaunti zaidi na kusihi serikali kuwezesha kaunti zilizopo kuafikia maendeleo. https://art19.com/shows/zinga/episodes/90d19d8e-f853-4225-abbd-2ef3398c476f

Raila ataka vyama vya kisiasa kuteua makamishna wa IEBC

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anapendekeza vyama vya kisiasa kupitia kwa kundi la wawakilishi wa vyama bungeni, IPPG vihusishwe katika mchakato wa kuwateua makamishna...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS