Home Tags Hon. Raila Odinga

Tag: Hon. Raila Odinga

Raila amwomboleza Makamu wa Rais wa Malawi

0
Kinara wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa taifa la Malawi kufuatia kifo cha Makamu wa Rais...

Raila apongeza serikali kwa kujitolea kuunga mkono azma yake

0
Kiongozi wa upinzani nchini Raila Odinga ameishukuru serikali kwa kujitolea kuunga mkono azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika, AUC. Akizungumza...

Raila afanya mkutano na mabalozi wa Misri na Uholanzi

0
Kinara wa ODM Raila Odinga leo Jumatano amefanya mkutano na mabalozi wa Misri Wael Nasreldin Attiya na Uholanzi Maarten Brouwer. Kwenye mkutano uliofanyika nyumbani kwake...

Aliyekuwa msaidizi wa Raila Silas Jakakimba ajiunga na UDA

0
Aliyekuwa msaidizi wa kinara wa Azimio Raila Odinga Silas Jakakimba amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Jakakimba alichukua uamuzi huo jana Jumanne, miezi...

Wanasiasa wahimizwa kukomesha matamshi yasiyofaa kuhusu uenyekiti wa tume ya AU

0
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewataka wanasiasa kukoma kutoa matamshi ambayo hayafai na ambayo huenda yakahujumu uwaniaji wa Kenya wa uenyekiti wa...

Serikali kumpigia debe Raila Odinga anayesaka uenyekiti wa tume ya AU

0
Serikali hivi karibuni itaanzisha kampeni kabambe ya kumpigia debe kiongozi wa upinzani Raila Odinga anayewania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika. Waziri...

Rais Ruto aongoza jumbe za maombolezi ya Kelvin Kiptum

0
Viongozi katika nyanja mbalimbali na wanamichezo wakiongozwa na Rais William Ruto wanaendelea kumwomboleza mwanariadha mashuhuri Kelvin Kiptum. Kupitia taarifa, Rais Ruto amemtaja marehemu Kiptum kuwa...

Rambirambi zamiminika kufuatia kifo cha Geingob

0
Jumbe za rambirambi zinazidi kutolewa na viongozi mbalimbali kufuatia kufariki kwa Rais wa Namibia Hage Geingob mapema leo Jumapili. Aliyekuwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta...

Raila apendekeza majadiliano kuhusu mradi wa nyumba

0
Raila Odinga kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya anapendekeza kikao na serikali na wadau kujadili utekelezaji wa mradi wa nyumba...

Raila akosoa serikali ya Kenya Kwanza

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza kwa kile anachokitaja kuwa hatua ya kuteka...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS