Home Tags Hon. Kimani Ichung’wa

Tag: Hon. Kimani Ichung’wa

Miradi ya barabara kukamilishwa Kwale

0
Serikali ya kitaifa itakamilisha miradi ya barabara katika kaunti ya kwale kwa wakati unaofaa. Haya ni kwa mujibu wa kiongozi walio wengi katika bunge la...

Ruto aahidi kutekeleza ripoti ya maridhiano kikamilifu

0
Rais William Ruto amekariri kuwa atatekeleza kikamilifu ripoti ya kamati ya kitaifa ya maridhiano iliyowasilishwa kwake jana Jumapili. Kamati hiyo iliongozwa na kiongozi wa wengi...

Kamati ya kitaifa ya mazungumzo ya maridhiano yawasilisha ripoti kwa viongozi

0
Kamati ya kitaifa ya mazungumzo ya maridhiano imekamilisha kazi yake na kuwasilisha ripoti kwa njia ya kielektroniki kwa viongozi wa pande zote mbili. Kulingana na...

Bunge laombwa kupiga marufuku TikTok nchini Kenya

0
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amesema kwamba afisi yake imepokea ombi la kupiga marufuku mtandao wa kijamii TikTok nchini Kenya. Akizungumza bungeni leo,...

Ichung’wah akiri kupokea mwaliko wa mazunguzo kutoka upinzani

0
Kinara wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah amejibu waraka wa mwaliko kwa meza ya mazungumzo kutoka kwa upinzani. Kiongozi wa muungano wa Azimio...

Kimani Ichung’wah adai Raila Odinga anataka ‘Handshake’

0
Kiongoozi wa walio wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung’wah sasa anadai kwamba kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Coalition Raila...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS