Home Tags Hon. Kalonzo Musyoka

Tag: Hon. Kalonzo Musyoka

Muungano wa Azimio waipa serikali saa 48 kumaliza mgomo wa madaktari

0
Muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya umeipa serikali makataa ya saa 48 imalize mgomo unaoendelea wa madaktari la sivyo ikabiliwe na mgomo...

Wiper yaunga mkono wanaokosoa serikali kuhusu idara ya mahakama

0
Chama cha Wiper kimeunga mkono taarifa ya rais wa chama cha wanasheria nchini LSK Eric Theuri, ile ya Daktari Fred Ojiambo mwenyekiti wa chama...

Ruto aahidi kutekeleza ripoti ya maridhiano kikamilifu

0
Rais William Ruto amekariri kuwa atatekeleza kikamilifu ripoti ya kamati ya kitaifa ya maridhiano iliyowasilishwa kwake jana Jumapili. Kamati hiyo iliongozwa na kiongozi wa wengi...

Kamati ya kitaifa ya mazungumzo ya maridhiano yawasilisha ripoti kwa viongozi

0
Kamati ya kitaifa ya mazungumzo ya maridhiano imekamilisha kazi yake na kuwasilisha ripoti kwa njia ya kielektroniki kwa viongozi wa pande zote mbili. Kulingana na...

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ahudhuria ibada na mchango Mwingi

0
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta anahudhuria ibada na hafla ya kuchangisha fedha katika kanisa la Full Gospel katika eneo la Mwingi, kaunti ya Kitui. Kulingana na...

Pepea Mashariki: Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano yachukua Mapumziko ya muda

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano Kati ya Serikali na Upinzani imechukua Mapumziko Hadi Jumatatu ya tarehe 7 Novemba wiki ijayo ,Ili kuruhusu timu ya...

Wabunge wa Ukambani wataka Kalonzo na Wavinya wachunguzwe kuhusiana na ardhi...

0
Wabunge wa mrengo tawala wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Ukambani, wanataka kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka na Gavana wa Machakos Wavinya...

Raila azuiwa kuingia eneo ambako ubomozi unaendelea Mavoko

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amezuiwa kuingia katika eneo ambako ubomozi wa nyumba unaendelea katika ardhi ya kampuni ya saruji ya East African Cement...

Viongozi wa Azimio washerehekea siku ya kuzaliwa ya Oburu Oginga

0
Jumapili Oktoba 15, 2023, viongozi kadhaa wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya walikusanyika katika eneo la Bondo katika kaunti ya Siaya kusherehekea...

Muungano wa Azimio wazindua tovuti ya kukusanya sahihi

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umezindua tovuti ya kuendeleza na kuboresha mpango wa kukusanya sahihi milioni 15. Uzinduzi wa tovuti hiyo www.tumechoka.com...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS