Tag: Hon. Jeremiah Kioni
Kalonzo, Wamalwa na Kioni kuendelea kusimama na Wakenya
Viongozi wa baadhi ya vyama tanzu vya muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya wameapa kuendelea kusimama na Wakenya.
Wanashikilia kwamba kamwe hawatajiunga...
Sabina Chege apuuzilia mbali wapinzani
Mwenyekiti wa chama cha Jubilee Sabina Chege amepuuzilia mbali wanaompinga akisema anatosha kuongoza chama hicho cha Jubilee kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta.
Chege...