Tag: Hon. Felix Koskei
Waziri Kuria aitaka SRC kutupilia mbali nyongeza ya mishahara kwa maafisa...
Waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria ameiandikia barua tume ya mishahara na marupurupu SRC akiitaka iondolee mbali arifa ya gazeti rasmi la serikali...
Rais Ruto arejea kutoka Marekani
Rais William Ruto amerejea nchini Kenya baada ya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Marekani.
Kiongozi wa nchi alilakiwa katika uwanja wa ndege na...
Polisi waagizwa kukamata magari yaliyo na vifaa kama ving’ora bila idhini
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ameagiza maafisa wa polisi kukamata magari yote ambayo yana ving'ora na taa za kumwekamweka bila idhini.
Kulingana na...