Home Tags Homa Bay

Tag: Homa Bay

Shughuli za uchimbaji mchanga zasimamishwa kaunti ya Homa Bay

0
Kufuatia mvua kubwa inayoshuhudiwa katika maeneo mengi hapa nchini ambayo imesababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi, shughuli za uchimbaji mchanga katika kaunti ya Homa...

Serikali ya kaunti kuhamisha familia 1,700 zilizoathirika na mafuriko Homa...

0
Serikali ya kaunti ya Homa Bay inapanga kuhamisha familia 1,700 zilizoathirika na mafuriko . Kulingana na Mkurugenzi wa mazingira na maji katika kaunti hiyo ya...

Rais Ruto: Serikali itashirikiana na kaunti kuimarisha uchumi wa taifa

0
Serikali imejitolea kufanya kazi na serikali za kaunti ili kufungua uwezo wa kiuchumi wa Kenya, Rais William Ruto amesema. Lengo, alifafanua, ni kubadilisha ugatuzi kutoka...

Kambi ya walinzi wa baharini kuanzishwa katika kisiwa cha Mfangano

0
Serikali ina mipango ya kuanzisha kambi ya walinzi wa baharini katika kisiwa cha Mfangano kaunti ya Homa Bay, ili kukabiliana na maswala ya usalama...

Homa Bay yazindua kituo cha ukusanyaji wa taarifa za tabia nchi

0
Serikali ya kaunti ya Homa Bay imezindua kituo chake cha kukusanya taarifa kuhusiana na tabia nchi. Gavana Gladys Wanga aliongoza hafla ya uzinduzi wa kituo...

Serikali ya Homa Bay yakusanya zaidi ya shilingi milioni 100 Septemba

0
Serikali ya kaunti ya Homa Bay ilikusanya mapato yenye kima cha shilingi milioni 101.6 mwezi Septemba, 2023. Seikali hiyo inayoongozwa na Gavana Gladys Wanga ilikusanya...

Ruto azindua ujenzi wa barabara ya Mfangano

0
Rais William Ruto mapema Jumamosi amezindua ujenzi wa barabara ya Mfangano Island Ring Road iliyoko eneo bunge la Suba kaskazini kaunti ya ...

Rais Ruto: Upinzani hautavuruga ajenda ya Serikali kupitia maandamano

0
Serikali itawachukulia hatua kali wanaotumia vibaya Katiba na kusababisha machafuko hapa nchini. Rais William Ruto amesema mpango huo utasitishwa. huku akibainisha kuwa Serikali ina...

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga atua Homa Bay

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga leo Ijumaa asubuhi aliwasili katika kaunti ya Homa Bay na kulakiwa na Gavana wa kaunti hiyo Gladys...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS