Home Tags High Court

Tag: High Court

Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao

0
Wafungwa katika magereza ya Kenya wana kila sababu ya kutabasamu kwani sasa wanaweza kupata fursa ya kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao. Hili litawezekana tu kwa...

Mahakama Kuu yasimamisha uchaguzi wa mwakilishi wa kiume wa LSK kwenye...

0
Mahakama kuu imesimamisha uchaguzi wa mwakilishi wa kiume wa chama cha mawakili nchini LSK katika tume ya kuajiri wahudumu wa idara ya mahakama JSC. Uchaguzi...

Mahakama kuu yasimamisha utoaji wa vitambulisho vya kidijitali

0
Mahakama kuu imesimamisaha utoaji wa vitambulisho vipya vinavyojulikana kama "Maisha Card", hadi pale ambapo kesi ya kuvipinga itakaposikilizwa na kuamuliwa. Jaji John Chigiti ameelekeza serikali...

Mahakama kuu yazuia KECOBO kugawa mapato ya vyombo vya kubebea muziki

0
Bodi ya hakimiliki nchini Kenya KECOBO imezuiwa na mahakama kuu kugawa mapato yaliyotokana na ushuru wa vyombo vya kubebea muziki ambavyo havijatumiwa. Hii ni baada...

Majaji wa kusikiliza kesi ya kupinga sheria ya fedha wateuliwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la majaji watatu litakalosikiliza na kuamua kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023. Jaji David Majanja ataongoza...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS