Home Tags High Court of Kenya

Tag: High Court of Kenya

Mahakama yasitisha agizo la Kindiki kuhusu kufungwa kwa baa

0
Mahakama kuu jijini Kisumu imesitisha agizo la Waziri wa Usalama wa ndani Kithure Kindiki ya kifungwa kwa baa katika harakati za kukabili uuzaji wa...

Mahakama Kuu kusikiza kesi ya ODM inayopinga ubinafsishaji wa mashirika 11...

0
Mahakama Kuu nchini Kenya siku ya Alhamisi, Machi 7 inatarajiwa kuanza kusikiza kesi iliyowasilishwa na chama cha Orange Democratic Movement - ODM kupinga ubinafsishaji...

Mahakama yasimamisha utekelezaji wa bima mpya ya afya

0
Jaji wa mahakama kuu E.C Mwita amesimamisha utekelezaji wa bima mpya ya afya inayochukua mahala pa bima ya kitaifa ya matibabu NHIF. Hatua hii inafuatia...

Bawabu Eric Mulyanga alipwa fidia ya shilingi 130,000 kwa kufurushwa kazini

0
Mahakama ya Milimani imeamrisha bawabu Benjamin Eric Mulyanga aliyefanya kazi na kampuni ya Zitron Limited, alipwe fidia ya shilingi 130,000 kwa kutimuliwa kazini kwa...

Mahakama Kuu yabatilisha uamuzi wa kubadili jina la barabara ya Dik...

0
Mahakama Kuu imebatilisha uamuzi wa kubadilisha jina la barabara ya Dik Dik mtaani Kileleshwa katika kaunti ya Nairobi hadi jina la Francis Atwoli. Serikali ya...

Kesi ya kupinga sheria ya fedha mwaka 2023 kusikizwa kwa siku...

0
Kesi inayopinga utekelezwaji wa sheria ya fedha ya mwaka 2023 itasikizwa leo Alhamisi na mahakama kuu kwa mara ya mwisho. Majaji walianza kusikiza kesi hiyo...

Mahakama Kuu yadinda kusitisha utekelezaji wa sheria ya fedha mwaka 2023

0
Mahakama Kuu ya Kenya imedinda kusimamisha utekelezaji wa sehemu ya sheria katika sheria ya fedha ya mwaka 2023. Seneta wa Busia Okiya Omtatah kwenye kesi...

Hatima ya sheria ya fedha mwaka 2023 kuamuliwa na mahakama

0
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kutoa uamuzi leo Ijumaa kuhusu kesi iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u kupitia kwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...

Kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023 kusikilizwa leo

0
Mahakama kuu leo, inatarajiwa kusikiliza kesi dhidi ya utekelezaji wa sheria ya fedha ya mwaka huu iliyowekwa na Seneta wa Kaunti ya Busia Okiya...

Mahakama Kuu: Uteuzi wa makatibu waandamizi 50 ulifanywa kinyume cha sheria

0
Mahakama Kuu imetangaza kuwa uteuzi wa makatibu waandamizi 50 ulifanywa kinyume cha sheria. Kwenye uamuzi wa jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo uliotolewa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS