Home Tags HELB

Tag: HELB

HELB kuanza kupokea maombi ya mikopo Juni 15

0
Bodi ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu, HELB imetangaza kuanza kupokea maombi Juni 15 mwaka huu. Waziri wa Elimu Ezekiel...

Hakuna mtihani bila karo, vyuo vikuu vyawashinikiza wanafunzi wa mwaka wa...

0
Vyuo vikuu vya umma vimekaa ngumu na kuwalazimisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo kulipia sehemu ya karo wanayohitajika kulipa, kabla ya kufanya...

Machogu: Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, TVET kupokea fedha hivi karibuni

0
Fedha za ufadhili wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kiufundi, TVET zitatolewa hivi karibuni.  Huku akisema uzinduzi wa mfumo mpya wa ufadhili wa...

Machogu: Fedha za wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kiufundi kutolewa...

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu sasa anasema Bodi ya Kutoa Mikopo ya Elimu ya Juu, HELB imemaliza mchakato wa utayarishaji wa mikopo kwa wanafunzi...

Wizara ya elimu yatoa ripoti ya ufadhili wa masomo

0
Wizara ya Elimu imetoa ripoti ya ufadhili wa masomo nchini mwaka 2023, katika viwango mbalimbali vya masomo. Ripoti hiyo iliyotolewa na waziri wa Elimu Ezekiel...

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HELB yaanza kusambaza mikopo

0
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imetangaza kwamba imeanzisha mchakato wa kusambaza mikopo ya masomo kwa vyuo vikuu na vyuo anuai. Kulingana...

Ekwee Ethuro ateuliwa mwenyekiti wa HELB

0
Rais William Ruto amemteua Ekwee Ethuro kuwa mwenyekiti wa halmashauri inayosimia mikopo ya masomo ya elimu ya juu HELB . Ethuro alikuwa spika wa...

Muda wa kuomba ufadhili wa elimu ya juu waongezwa

0
Wizara ya elimu nchini Kenya imeongeza kwa mwezi mmoja zaidi muda wa kutuma maombi ya ufadhili wa elimu ya juu. Wanaotaka ufadhili katika mwaka...

Zinga: Ufadhili wa elimu ya juu

0
Afisa Mkuu Mtendaji wa bodi ya kufadhili elimu ya juu humu nchini Charles Ringera amesisitiza kwamba mfumo mpya wa kufadhili masomo ya vyuo vikuu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS