Home Tags Harmonize

Tag: Harmonize

Rais Samia ahimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana

0
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza wasanii nchini Tanzania kukoma kuzozana na badala yake kushirikiana na kutia bidii katika kazi zao. Akizungumza katika...

Harmonize kuzindua albamu iitwayo “Muziki wa Samia”

0
Mwanamuziki wa Tanzania Rajab Abdul Kahali, maarufu kama Harmonize ametangaza kwamba atazindua albamu yake ya tano mwezi huu. Albamu hiyo iliyopatiwa jina "Muziki wa Samia"...

Diamond na Harmonize wasalimiana kwenye futari ya Rais Samia Ikulu

0
Usiku wa jana Jumanne Machi 12, 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari Samia Suluhu Hassan aliandaa futari katika uwanja wa Ikulu...

Rayvanny asema hakuna ugomvi kati yake na Harmonize

0
Msanii wa muziki nchini Tanzania Rayvanny amesema kwamba hakuna ugomvi kati yake na mwanamuziki mwenza Harmonize. Vanny boy alikuwa akizungumza katika kikao na wanahabari jijini...

Khaligraph azindua kibao kipya baada ya kuzua mzozo wa “Hip Hop”...

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Hip Hop nchini Kenya Khaligraph Jones ametoa kibao kipya kwa jina "Bongo Favour" baada ya kuanzisha mzozo kati ya wanamuziki...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS