Home Tags Harambee Stars

Tag: Harambee Stars

Harambee Stars yakabwa koo na Burundi Jijini Lilongwe

0
Kenya imepoteza alama mbili muhimu baada ya kukabwa koo bao 1-1 na Burundi, katika mechi ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia mwaka...

Kocha Firat aelezea sababu ya Harambee Stars kuchezea mechi za nyumbani...

0
Kocha wa timu ya taifa Harambee stars Engin Firat, amesema wamelazimika kuchezea mechi za nyumbani nchini Malawi baada ya Kenya kukosa viwanja vinavyoafiki...

Firat amtema nahodha Olunga kutoka Harambee Stars

0
Kocha wa Harambee Stars Engin Firat  amemtema nahodha Michael Olunga kwenye kikosi cha wachezaji 25 kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026...

Kiungo wa zamani wa Harambee Stars Gatuso Okoth akamatwa kwa ubakaji

0
Kiungo wa zamani wa klabu ya Goar Mahia na timu ya taifa ya Harambee Stars Collins Gatuso Okoth, amekamatwa Jumatatu jioni na maafisa wa...

Harambee Stars yaiadhibu Ushelisheli mabao 5-0

0
Timu ya taifa ya soka Harambee stars iliishinda Ushelisheli mabao  5-0 kwenye mechi ya kundi F ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia...

Ni kufa kupona kwa Harambee Stars leo usiku

0
Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars itashuka ugani Félix Houphouët Boigny mjini Abidjan nchini Ivory Coast leo Jumatatu usiku, kwa mchuano wa pili...

Gabon yatoka nyuma na kuiponza Kenya mechi ya kufuzu Kombe...

0
Safari ya Harambee Stars kufuzu kwa Kombe la Dunia mwaka 2026, ilianza kwa nuksi ya kucharazwa magoli 2-1 na wenyeji Gabon katika uga wa...

Harambee Stars yachapwa mabao 2-1 na Gabon

0
Timu ya taifa ya soka harambee stars imeshindwa mabao mawili kwa moja na wenyeji Gabon, katika mechi ya kwanza ya kufuzu kwa fainali za...

Kocha Firat awaita wanandinga 28 kwa mechi za kufuzu Kombe la...

0
Kocha wa Timu ya Haifa ya Kenya, Harambee Stars Engin Firat,ametaja kikosi cha wanandinga 28 ,watakaowajibika katika mechi mbili za...

Harambee Stars kurejea kambini wiki hii

Timu ya taifa ya soka, Harambee Stars inatarajiwa kuripoti kambini juma hili ili kujitayarisha kwa michuano ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS