Home Tags Hamas

Tag: hamas

Wanajeshi wa Israel wavamia makazi kadhaa huko Rafah

0
Wanajeshi wa Israel wamechoma na kubomoa makazi kadhaa katika eneo la Rafah ambalo liko kusini mwa ukanda wa Gaza. Haya yanafuatia shambulizi lililotekelezwa na...

Hamas yalaumu Israel kwa makosa makubwa ya kivita

0
Kundi la Hamas limelaumu Israel kwa kile linachokitaja kuwa makosa makubwa ya kivita kufuatia shambulizi la Jumamosi katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat ambapo...

Mateka 4 zaidi wa Israel wafariki Gaza

0
Jeshi la Israel linasema kuwa limethibitisha vifo vya watu wanne zaidi waliotekwa nyara na Hamas  Oktoba 7,2023. Linasema wanne hao waliuawa wakiwa pamoja wakati wa...

Mudavadi: Kenya inaunga mkono pendekezo la kusitisha vita Gaza

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema Kenya inaunga mkono pendekezo la kumaliza vita kati ya  Israel na Hamas. Mudavadi amesema kenya inaunga mkono...

Serikali ya Israel yahimizwa kukubali mpango wa Biden wa kusitisha mapigano

0
Jamaa za raia wa Israel ambao walishikwa mateka na wapiganaji wa Hamas huko Gaza wameitaka serikali ya nchi yao kukubali mpango wa Rais Joe...

Mtandao wa KFC wasemekana kudukuliwa

0
Video inayosambaa mitandaoni inaashiria uwezekano wa kudukuliwa kwa mtandao wa duka la chakula la KFC. Katika video hiyo, viwambo vilivyopachikwa dukani ambavyo mara nyingi...

Kiongozi wa Hamas Marwan Issa auawa

Kiongozi wa Hamas Marwan Issa alifariki katika shambulizi la anga la Israel, afisa wa Ikulu ya Marekani Jake Sullivan amesema. Akiwa naibu kamanda wa kijeshi,...

Utapiamlo waripotiwa Gaza

0
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi wa Palestina huko Gaza limesema kwamba utapiamlo unaenea kwa kasi kati ya watoto wa eneo hilo. Hata yanajiri...

Marekani yatoa msaada wa kibinadamu Gaza

0
Marekani imesambaza msaada wa kwanza wa kibinadamu katika ukanda wa Gaza ambapo vyakula vilivyopakiwa vinavyotosha zaidi ya watu elfu 30, vikisambazwa kwa kutumia ndege...

Wafanyakazi wa shirika na UNRWA wafutwa

0
Shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia wakimbizi wa Palestina United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees - UNRWA wamefutwa kazi. Israel ilitoa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS