Home Tags HAITI

Tag: HAITI

Inspekta Jenerali wa polisi akutana na polisi wa Haiti

0
Inspekta jenerali wa polisi Japhet Koome leo alifanya mkutano na ujumbe wa polisi wa taifa la Haiti katika afisi yake jijini Nairobi. Mkutano huo uliohudhuriwa...

Haiti yabuni Baraza jipya la Mawaziri

0
Baraza la mpito la Haiti limeteua baraza jipya la mawaziri Jumanne, kuashiria hatua ya mwisho ya kujenga upya serikali itakayoongoza nchi iliyogubikwa na magenge...

Hali ingali tete nchini Haiti licha ya kubuniwa kwa serikali...

0
Serikali mpya ya mpito iliyobuniwa nchini Haiti chini ya wiki  moja iliyopita inakabiliwa na changamoto huku Waziri Mkuu mpya  Fritz Bélizaire, akionekana  kukataliwa na  wajumbe...

Haiti: Jimmy ‘Barbecue’ ataka kushirikishwa kwenye mazungumzo ya kuunda serikali mpya

Mmoja wa viongozi wa magenge yenye nguvu zaidi nchini Haiti anasema atafikiria kuweka chini silaha ikiwa makundi yenye silaha yataruhusiwa kushiriki mazungumzo ya kuanzisha...

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry ajiuzulu

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amejiuzulu, mwenyekiti wa kundi la nchi za Caribbean amesema, kufuatia wiki za shinikizo zinazoongezeka na kuongezeka kwa ghasia...

Magenge yavamia gereza na kuachilia wafungwa Haiti

0
Magenge yaliyojihami yamevamia gereza kuu la Haiti katika jiji kuu Port-au-Prince na kauchilia wafungwa wapatao elfu 4. Wanachama wa magenge hayo waliokuwa wamezuiliwa kuhusiana na...

Rais Ruto: Kenya iko tayari kuwapeleka polisi 1,000 nchini Haiti

Kenya sasa iko tayari kupeleka kikosi cha maafisa 1,000 wa polisi nchini Haiti ili kuongoza misheni ya kimataifa itakayosaidia kurejesha sheria na utulivu katika...

Waziri Mkuu wa Haiti kuzuru Kenya

0
Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry anatarajiwa kuzuru nchini Kenya hivi karibuni katika harakati za kutafuta suluhisho la kutumwa kwa polisi wa Kenya katika...

Serikali kukata rufaa kuhusu uamuzi wa Mahakama wa kupelekwa kwa polisi...

Msemaji wa serikali Isaac Mwaura, amesema serikali itakata rufaa dhidi ya uamuzi wa hivi majuzi wa mahakama, uliopiga marufuku baraza la taifa la usalama...

Mahakama yazima hatua ya serikali ya kuwapeleka polisi Haiti

0
Serikali imepata pigo jingine baada ya Mahakama kuu ya Kenya kusitisha hatua ya kupelekwa kwa maafisa wa polisi 1,000 nchini Haiti, ikisema hatua hiyo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS