Tag: Governor Kawira Mwangaza
Munya aunga mkono kubanduliwa afisini kwa Gavana Mwangaza
Waziri wa zamani wa kilimo na mmoja wa viongozi katika muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya Peter Munya ameunga mkono kubanduliwa afisini...
Baadhi ya wazee wa Njuri Ncheke wakubali kupatanisha Gavana na wawakilishi...
Baadhi ya wanachama wa baraza la wazee wa jamii ya Ameru Njuri Ncheke wamekubali kufuata maagizo ya mahakama kuu ya Meru ya kupatanisha Gavana...
Hoja nyingine ya kumbandua afisini Gavana Mwangaza yawasilishwa bungeni
Saa chache tu baada ya kuondoa hoja ya mjadala wa kumbandua afisini Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, mwakilishi wadi mteule Zippora Kinya...
Wazee wa Njuri Ncheke wakataa kutatua mgogoro wa Gavana Mwangaza na...
Baraza la wazee la jamii ya Ameru Njuri Ncheke limekataa kutatua mgogoro ulipo kati ya Gavana Kawira Mwangaza na wawakilishi wadi waliowasilisha hoja ya...
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani kuandaliwa Meru
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha kesho Ijumaa, Disemba 1, 2023, ataongoza sherehe ya kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani katika uwanja wa michezo wa Kinoru,...
Wawakilishi wadi wa Meru wapendekeza kubuniwa kwa huduma ya jiji la...
Wawakilishi wadi wa kaunti ya Meru sasa wanataka afisi ya huduma za jiji la Meru ibuniwe kwa sababu kulingana nao, usimamizi wa kaunti hiyo...
Gavana Kawira apongeza Seneti kwa kumnusuru
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, amepongeza bunge la Seneti kwa kumnusuru baada ya kutupilia mbali mashtaka yote saba dhidi yake jana Jumatano...
Gavana Kawira aona Mwangaza tena baada ya Seneti kumnusuru
Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, aliponea chupuchupu kung'atuliwa afisini kwa mara ya pili, baada ya Maseneta jana Jumatano usiku kutupilia mbali mashtaka...
Maseneta kuamua hatima ya Gavana Mwangaza wiki ijayo
Bunge la Seneti litasikiza na kuamua hatima ya Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza wiki ijayo.
Bunge hilo litasikiza pande zote mbili katika kesi...
Wakazi waandamana kulalamikia kuondolewa mamlakani kwa Gavana Mwangaza
Wakazi wa eneo la Ntharene kaunti ndogo ya Imenti Kusini kaunti ya Meru wamefanya maandamano ya amani leo, kulalamikia kubanduliwa mamlakani kwa Gavana wa...