Tag: Governor Fatuma Achani
Rais Ruto ashabikia uongozi wa wanawake nchini
Kiongozi wa taifa Rais William Ruto ameshabikia uongozi wa wanawake humu nchini akisema una nafasi kubwa.
Akihutubia taifa katika uwanja wa michezo wa Kwale alipoongoza...
Akiba na mikopo Kwale
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi usambazaji wa Kompyuta 20 pamoja na vichapishaji kwa hazina za akiba na mikopo kwa wakulima...
Serikali ya Kwale kuendelea kuwekeza kwenye miradi ya maji
Gavana wa kaunti ya kwale Fatuma achani amesema kuwa serikali yake itaendelea kuekeza zaidi katika sekta ya maji kupitia uchimbaji wa visima na mabwawa...
Gavana Achani aonya wamiliki wa ardhi kuzitumia au zitwaliwe na serikali
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ametoa ilani kwa wamiliki wa ardhi wasiojulikana (Absentee Landlords) wamaomilki ardhi kubwa kuanza kuzitumia ardhi zao kimaendeleo...
Gavana Achani akariri kuboresha huduma ya afya Kwale
Serikali ya Kaunti ya Kwale imetangaza kusitisha ujenzi wa vituo vipya vya Afya na badala yake itaendelea kuboresha vituo vya Afya vilivyoko Kwa sasa,...
Achani aitaka serikali ya kitaifa ilipe kaunti mirabaha ya madini
Gavana wa kaunti ya kwale Fatuma Achani ameshikiniza serikali ya kitaifa kuharakisha mpango wa kutoa mirabaha ya shilingi billioni 1.2 inayotokana na faida za...
Viongozi wa Kenya Kwanza Kwale walaumu makundi ya uanaharakati kwa maandamano
Viongozi wa muungano wa Kenya Kwanza katika kaunti ya Kwale wakiongozwa na Gavana Fatuma Achani wamedai kwamba maandamano yaliyoshuhudiwa hivi maajuzi katika eneo la...
Kwale yaongeza ada ya kuingiza muguka
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ametangaza kuongezwa kwa ada ya kuingiza muguka katika kaunti hiyo. Ada hiyo imekuwa shilingi elfu 10 kwa...
Miradi ya barabara kukamilishwa Kwale
Serikali ya kitaifa itakamilisha miradi ya barabara katika kaunti ya kwale kwa wakati unaofaa.
Haya ni kwa mujibu wa kiongozi walio wengi katika bunge la...
Serikali yahimizwa kuongeza mgao wa fedha kwa kaunti
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameitaka serikali ya kitaifa kuongeza mgao wa fedha za kaunti ili kutatua migomo ya mara Kwa mara...