Home Tags GOR MAHIA

Tag: GOR MAHIA

Gor mahia kutuzwa mabingwa wa ligi ya FKF Jumapili

0
Mabingwa watetezi Gor Mahia, watatuzwa taji la 21 Jumapili hii baada ya kumenyana na Bidco United ugani Kenyatta kwenye mechi ya 34 na ya...

Kiungo wa zamani wa Harambee Stars Gatuso Okoth akamatwa kwa ubakaji

0
Kiungo wa zamani wa klabu ya Goar Mahia na timu ya taifa ya Harambee Stars Collins Gatuso Okoth, amekamatwa Jumatatu jioni na maafisa wa...

Ligi Kuu ya FKF kuingia raundi ya nne

0
Ligi kuu ya Kenya itaendelea wikendi hii kwa mechi za raundi ya nne katika nyuga mbali mbali. Bidco United wanaosaka ushindi wa kwanza watawaalika Talanta...

Waziri Owalo ajaribu kusuluhisha zogo la Gor Mahia na FKF

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo ameandaa mkutano na maafisa wa klabu ya soka ya Gor Mahia na wale wa...

Kenya kukosa mwakilishi wa ligi ya mabingwa Afrika kwa mwaka wa...

0
Kenya haitakuwa na mwakilishi katika mashindano ya kuwania kombe la ligi ya mabingwa Afrika,kufuatia kutimuliwa kwa mabingwa wa ligi Gor Mahia kwa ukiukaja wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS