Home Tags Gor Mahia FC

Tag: Gor Mahia FC

Gor Mahia na Police FC huenda wakahamishia mechi za Afrika...

0
Waakilishi wa Kenya katika Ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho Gor Mahia na Police FC, huenda wakahamishia mechi za mwezi ujao ikiwa mchujo ...

Gor Mahia na Police FC watinga mchujo wa pili mataji ya...

0
Waakilishi wa Kenya Gor Mahia na Police FC wamefuzu kwa mchujo wa pili wa mataji ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani...

Gor wapigwa dafrao, Police wakabwa koo mechi za Afrika

0
Waakilishi wa Kenya Gor Mahia na Police FC wamesajili matokeo mseto katika mikumbo ya kwanza ya mechi za mataji ya bara Afrika Jumapili jioni. Gor...

Gor Mahia kucheza na El Merreikh Jumapili Ligi ya...

0
Mabingwa wa Kenya Gor Mahia watachuana na El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini katika mchujo wa kwanza kuwania taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchuano...

Gor Mahia kupambana na Al Merreikh

0
Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya,Gor Mahia watachuana na klabu ya Al Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini, katika mkumbo wa kwanza awamu ya mchujo kuwania...

Gor Mahia waanza CECAFA kwa kichapo

0
Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya,Gor Mahia walianza vibaya  mashindano ya  kombe la CECAFA kwa kichapo cha bao moja bila jibu , kutoka kwa mabingwa...

Waziri Owalo aituza Gor Mahia shilingi milioni 2 kwa kushinda ligi

0
Waziri wa Habari na Mawasiliano Eliud Owalo amewatuza mabingwa wa ligi kuu Gor Mahia shilingi milioni 2 huku akiwapa changamoto ya kusajili matokeo bora...

Gor Mahia mabingwa wa Ligi Kuu Kenya kwa mara ya 21

0
Gor Mahia wametawazwa mabingwa wa Ligi Kuu Kenya msimu wa mwaka 2023/2024 kwa mara ya 21 kwa jumla. Walitawazwa mabingwa kwa njia ya kipekee...

Mckinstry ateuliwa kocha mkuu wa Gambia kwa miaka miwili

0
Chama cha soka nchini Gambia kimemteua Mwingereza Jonathan Mckinstry kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Gambia, maarufu kama The Scorpions kwa kandarasi...

Gor Mahia wahifadhi ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2023-2024

0
Klabu ya Gor Mahia  imehifadhi ttaji ya Ligi Kuu ya Kenya kwa ikifikisha mataji  21 ya  Jumapili jioni, baada ya kuilaza Muhoroni Youth mabao...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS