Tag: Girl abducted
Watano wakamatwa kuhusiana na utekaji wa msichana Kilifi
Washukiwa watano wametiwa mbaroni kuhusiana na utekaji na ubakaji wa msichana wa umri wa miaka 16 katika kaunti ya Kilifi.
Kulingana na maafisa wa idara...