Home Tags Gharama ya maisha

Tag: Gharama ya maisha

Kalonzo aikosoa Kenya Kwanza kufuatia gharama ya juu ya maisha

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameisuta serikali ya Kenya Kwanza kutokana na kile ambacho ametaja kuwa kodi kubwa wanayotozwa Wakenya.  Aidha amelalamikia kupandwa...

Infotrak: Asilimia 73 ya Wakenya wameathiriwa na hali ngumu ya kiuchumi

0
Utafiti wa hivi punde uliofaywa na kampuni ya Infotrak unaonyesha kuwa asilimia 73 ya Wakenya wanakabiliwa na hali ngumu kiuchumi.  Kwa mujibu ya utafiti huo,...

Utafiti wa Infotrak: Gharama ya juu maisha mwiba kwa Wakenya wengi

0
Gharama ya juu ya maisha ni suala kuu linalowakwaza Wakenya wengi, kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliotolewa na kampuni ya Infotrak.  Kwa mujibu...

Mudavadi awaonya wafisadi, asema watachukuliwa hatua kali

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema kuwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma havitakubaliwa katika serikali ya Kenya Kwanza.  Amewataka Wakenya kutupilia...

Wakazi wa Meru: Gharama ya maisha ingali juu

0
Siku chache baada ya Waziri wa Kilimo Mithika Linturi kuonekana akizuru supamaketi mbalimbali jijini Nairobi kubaini bei ya bidhaa mbalimbali za vyakula hasa unga,...

ODM yadai serikali inasita kuangazia suala la gharama ya maisha

0
Chama cha ODM kimeisuta serikali kwa madai kuwa haijaonyesha nia bayana ya kushughulikia suala la kupanda kwa gharama ya maisha.  Kupitia katibu wake Edwin Sifuna,...

Ruto: Serikali inashughulikia suala la gharama ya maisha

0
Rais William Ruto anasema utawala wake unachukua hatua za makusudi zinazonuia kukabiliana na gharama ya juu ya maisha wanayokumbana nayo Wakenya.  Amekiri kuwa familia nyingi...

Gharama ya maisha haistahimiliki nchini, Azimio yaiambia serikali

0
Muungano wa upinzani wa Azimio umekashifu hatua ya serikali kutangaza ongezeko kubwa la bei za mafuta nchini, ukitaja hatua hiyo kama itakayokuwa mzigo mkubwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS