Home Tags Ghana

Tag: Ghana

Kemosi ateuliwa balozi hata baada ya kukataa

0
Mbunge wa zamani wa eneo la Mugirango Magharibi Vincent Mogaka Kemosi aliteuliwa kuwa balozi na Rais William Ruto hata baada yake kukataa kazi hiyo. Uteuzi...

Rais Ruto atuzwa nchini Ghana

0
Ghana imemtunuku Rais William Ruto tuzo ya juu zaidi nchini humo inayojulikana kama "The Companion of the Order of the Star of the Volta." Akimkabidhi...

Kenya na Ghana zasaini mikataba ya biashara

0
Kenya na Ghana zimetia saini Mikataba ya Maelewano, MoU inayodhamiria kukuza ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili.  Mikataba hiyo mitatu muhimu ilitiwa saini...

Kenya na Ghana zatia saini Mikataba saba ya Maelewano

0
Kenya na Ghana zimetia saini mikataba saba ya maelewano, kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Rais William Ruto, alisema mikataba hiyo...

Wakenya wanaoishi ughaibuni wasifiwa kwa mchango wao

0
Rais William Ruto amewataja Wakenya wanaoishi ughaibuni kuwa mnara wa kutia moyo kwa Kenya na dunia nzima kwa jumla.  Akirejelea wajibu mkubwa na mchango unaotolewa...

Rais Ruto kufanya ziara rasmi Ghana na Guinea-Bissau

Rais William Ruto ataondoka hapa nchini leo Jumanne kwa ziara ya kiserikali nchini Ghana, ikifuatiwa na ziara rasmi nchini Guinea-Bissau. Katika ziara hizo, Rais Ruto...

Bunge la Ghana lapitisha mswada unaopinga mapenzi ya jinsia moja

0
Bunge la Ghana limepitisha kwa kauli moja muswada tata wa kupinga mapenzi ya jinsia moja ambao unaamuru kifungo cha miaka 3 jela kwa kujihusisha...

Rais Addo wa Ghana afanya mabadiliko ya mawaziri

0
Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo alifanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri siku ya Jumatano huku akimtimua waziri wa Fedha. Kwenye mabadiliko hayo Rais...

Mafarao wapenya raundi ya pili huku Ghana wakienguliwa AFCON

0
Mabingwa mara saba wa kombe la Bara Afrika Misri ukipenda the Pharoes,  walifuzu kwa raundi ya pili ya kombe la AFCON  kimiujiza wakisajili  sare...

Mafarao wa Misri na Ghana wahaha AFCON

0
Misri na Ghana wamejipata kwenye njia panda katika hekaheka za kuwania kombe la AFCON, baada ya kuambulia sare ya magoli mawili katika mechi ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS