Home Tags Gen Z

Tag: Gen Z

Raila akubaliana na vijana kwamba haki ije kwanza kabla ya mazungumzo

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga amesema kwamba anakubaliana na vijana wa taifa hili kwamba haki inafaa kutekelezwa kabla...

Wanyonyi awarai Wabunge kuwapiga msasa vyema Mawaziri walioteuliwa

0
Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewataka Wabunge kuwapiga msasa ipasavyo Mawaziri walioteuliwa na Rais william Ruto, ili kuhakikisha ni wale tu wanaofaa watakaoidhinishwa. Wanyonyi amesema...

Polisi wamwagwa jijini Nairobi kuzuia maandamano ya Gen Z

0
Idadi kubwa ya polisi wa kupambana na ghasia wanashika doria katikati ya jiji la Nairobi kuzuia maandamano ya vijana wa Gen Z siku yaliyopangwa...

Odinga aambia Gen Z kwamba amepata ujumbe wao

0
Kiongozi wa mrengo wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ameambia vijana wa "Gen Z" kwamba amepata ujumbe wao kuhusiana na maridhiano. Odinga...

Vijana wa Gen Z wafanya ibada ya kumbukumbu kwa waliouawa

0
Maelfu ya vijana wa Gen Z walifurika katika Bustani ya Uhuru katika kaunti ya Nairibi siku ya Jumapili, kuwakumbuka wenzao waliouawa wakati wa maandamano...

Ruto kufanya kikao na Vijana wa Gen Z kupitia mtandao wa...

0
Rais William Ruto anatarajiwa kukutana na vijana wa Gen Z kupitia  kwa mtandao wa X-Space, ili kujadili maswala yaliyoibuliwa na vijana hao wakati wa...

Raila akashifu kuingiliwa kwa maandamano na wahuni

0
Kiongozi wa upinzani nchini Raila Odinga amelaani hatua ya wahuni kuingilia maandamano ya vijana almaarufu Gen Z na kusababisha madhara makubwa katika sehemu mbali...

Vijana 15 wafikishwa mahakamani Eldoret kwa uharibifu wa mali

0
Vijana 15 walifikishwa katika mahakama ya Eldoret siku ya Jumatatu  kujibu mashtaka ya uharibifu wa mali wakati wa  maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha...

Gavana Abdullahi awaasa vijana dhidi ya uharibifu wa mali

0
Gavana wa kaunti ya Wajir Ahmed Abdullahi amewaasa vijana dhidi ya uharibifu wa mali wakati maandamano,akisema kuwa hali hiyo huenda ikasambaratisha taifa. Gavana huyo alisema...

Waliotishia kumuua Ichung’wah na waziri wa Hazina Kuu akifikishwa kizimbani

0
Wanaume wawili wamefikishwa mbele ya hakimu wa mahakama ya Milimani Rose Ndubi, kwa kosa la kutumia lugha ya dharau kwa mjumbe wa Kikuyu Kimani...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS