Home Tags Gen Z protests

Tag: Gen Z protests

MCK yakashifu mashambulizi dhidi ya wanahabari

0
Baraza la Vyombo vya Habari nchini, MCK limeshutumu mashambulizi ya hivi majuzi dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z katika...

Serikali kusaidia familia za waliofariki kwenye maandamano

0
Rais William Ruto amesema kwamba serikali itatoa usaidizi kwa familia za waliopoteza maisha kwenye maandamano nchini. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi wakati wa kutoa orodha...

Utulivu washuhudiwa Meru huku maandamano yakiendelea katika sehemu nyingine nchini

Tofauti na sehemu nyingine za nchi, kaunti ya Meru imesalia tulivu bila maandamano ya aina yoyote ya vijana wa Gen Z. Badala ya maandamano, baadhi...

Museveni atoa onyo kali dhidi ya maandamano

0
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametoa onyo kali kwa wale ambao wanajiandaa kwa maandamano kesho Jumanne, Julai 23, 2024. Museveni ameonya kwamba waandamanaji hao...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS