Home Tags Gaza

Tag: gaza

Hamas yalaumu Israel kwa makosa makubwa ya kivita

0
Kundi la Hamas limelaumu Israel kwa kile linachokitaja kuwa makosa makubwa ya kivita kufuatia shambulizi la Jumamosi katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat ambapo...

Watu zaidi ya laki 8 watoroka Rafah

0
Philippe Lazzarini mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la kushughulikia wakimbizi wa Palestina UNRWA amesema kwamba watu zaidi ya elfu 800 wametoroka mji...

Hamas yakubali masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano

Uongozi wa kundi la Hamas, umesema umekubali masharti ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza yaliyotolewa na Israel. Kundi hilo linasema limewafahamisha wapatanishi wa Qatar...

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lataka mapigano kusitishwa gaza

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kutaka "kusitisha mapigano mara moja" huko Gaza, baada ya Marekani kujiepusha kutumia kura yake...

Watu 19 wauawa Gaza wakisubiri msaada

0
Yamkini wapalestina 19 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na wanajeshi wa Israel katika ukanda wa Gaza, shambulizi lililolenga raia waliokuwa wakisubiri msaada kusini mashariki mwa...

Kiongozi wa Hamas Marwan Issa auawa

Kiongozi wa Hamas Marwan Issa alifariki katika shambulizi la anga la Israel, afisa wa Ikulu ya Marekani Jake Sullivan amesema. Akiwa naibu kamanda wa kijeshi,...

Utapiamlo waripotiwa Gaza

0
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi wa Palestina huko Gaza limesema kwamba utapiamlo unaenea kwa kasi kati ya watoto wa eneo hilo. Hata yanajiri...

Marekani yatoa msaada wa kibinadamu Gaza

0
Marekani imesambaza msaada wa kwanza wa kibinadamu katika ukanda wa Gaza ambapo vyakula vilivyopakiwa vinavyotosha zaidi ya watu elfu 30, vikisambazwa kwa kutumia ndege...

Biden atumai vita vitasitishwa Gaza kabla ya mwezi wa Ramadhan

Rais Joe Biden wa Amerika amesema anatumai kuwa makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza, yatafikiwa kabla ya kuanza kwa mwezi mtukufu Ramadhan. Maadhimisho ya...

Netanyahu na Biden watofautiana kuhusu mzozo wa Israel-Gaza

0
Uungwaji mkono maarufu wa Israel nchini Marekani utasaidia kupigana "hadi ushindi kamili" dhidi ya Hamas, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumanne. Katika taarifa, Bw Netanyahu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS