Home Tags Gaza Strip

Tag: Gaza Strip

Serikali ya Israel yahimizwa kukubali mpango wa Biden wa kusitisha mapigano

0
Jamaa za raia wa Israel ambao walishikwa mateka na wapiganaji wa Hamas huko Gaza wameitaka serikali ya nchi yao kukubali mpango wa Rais Joe...

Watu kadhaa wauawa kwenye mashambulizi ya Israel Rafah

0
Watu kadhaa wamefariki kwenye mashambulizi ya makombora ya Israel kwenye kambi moja inayokaliwa na wapalestina katika eneo la Rafah kusini mwa eneo la Gaza....

Israel, Marekani na Hamas waripotiwa kuafikia makubaliano ya kusitisha vita kwa...

0
Israel, Marekani na Hamas wanaripotiwa kuafikia makubaliano ambayo yatatoa fursa ya kuachiliwa kwa wanawake na watoto walioshikwa mateka katika Ukanda wa Gaza na kusitishwa...

Watu zaidi ya 260 wauawa kwenye tamasha ya Supernova Israel

0
Miili zaidi ya 260 imepatikana katika eneo la maandalizi ya tamasha ya Supernova katika eneo la Kusini mwa Israel karibu na Ukanda wa Gaza. Tamasha...

Rais William Ruto aomba pande zote kusitisha vita nchini Israel

0
RaiswaKenyaWilliamRuto ameungana na viongozi wa nchi nyingine ulimwenguni katika kusimama na serikali ya Israel wakati huu ambapo nchi hiyo inakumbwa na vita. Kwenye ujumbe wake...

Israel yatangaza vita na kuapa kulipiza kisasi Gaza

0
Hofu ya shambulizi katika ukanda wa Gaza inazidi kuongezeka baada ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuapa kugeuza eneo hilo kuwa mahame kama...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS