Home Tags Garissa

Tag: Garissa

Mashua za kibinafsi zaruhusiwa kuhudumu Garissa

0
Mashua za kibinafsi katika eneo la Garissa na Madogo, zimeruhusiwa kuwasafirisha watu katika barabara iliyofurika ya Garissa - Madogo, chini ya usimamizi wa huduma...

Miili ya watu watatu imeopolewa katika eneo la Madogo baada ya...

0
Miili mitatu imeopolewa kutoka eneo lililofurika la Kona Punda katika barabara ya Garissa –Madogo, eneo ambapo mashua iliyokuwa imewabeba zaidi ya watu 40 kupinduka...

Watu kadhaa watoweka baada ya mashua kuzama Garissa

0
Mashua moja iliyokuwa imebeba idadi isiyijulikana ya watu, imezama katika eneo la Kona Punda kaunti ya Garissa, Jumapili jioni. Kupitia mtandao wa X, shirika la...

Barabara kuu ya Garissa – Madogo yafungwa kutokana na mafuriko

0
Wakazi wa Garissa wanakumbwa na upungufu wa bidhaa muhimu kufuatia kufungwa kwa barabara kuu ya Garissa – Madogo kutokana na mafuriko. Tangu siku ya Ijumaa...

Washukiwa watano wa Al Shabaab wauawa Garisa

0
Washukiwa watano wa kundi la wanamgambi wa al Shabaab wameuawa Jumamamosi eneo la Fafi kaunti ya Garissa . Kulingana na taarifa za polisi washukiwa wengine...

Waathiriwa wa mafuriko Garissa wapokea msaada

0
Kundi moja la Muslim World League, limetoa chakula cha msaada na vifaa vingine Kwa waathiriwa wa mafuriko kaunti ya Garissa ambao wanatarajiwa kurejea makwao...

Watu watatu wafariki baada ya gari lao kukanyaga kilipuzi Garissa

0
Takriban watu watatu wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi katika kaunti ya Garissa. Waathiriwa hao walikuwa wakisafiri kati ya...

Wafanyabiashara Garissa waonywa dhidi ya kuhodhi bidhaa za chakula

0
Gavana wa kaunti ya Garissa Nathif Jamah ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaotumia mafuriko yanayoshuhudiwa katika kaunti hiyo kwa sasa kuhodhi bidhaa muhimu akisema...

Tahadhari yatolewa kwa wakazi wa Garissa kuhusiana na El Nino

0
Watu wanaoishi kwenye kingo za mto Tana na maeneo mengine yaliyo chini katika kaunti ya Garissa, wameshauriwa kuhamia nyanda za juu na kuzingatia tahadhari...

Raundi ya kwanza ya utoaji chanjo ya polio yaanza, watoto milioni...

Wizara ya Afya kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani, WHO imeanzisha raundi ya kwanza ya kampeni ya utoaji chanjo ya polio. Kampeni hiyo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS