Home Tags Gabon

Tag: Gabon

Rais wa zamani wa Gabon,Bongo na wanawawe wasusia chakula

0
Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo na wanawe wa kiume wawili ,Jalil na Bilal,wameanza kususia chakula kupinga kuteswa kwa familia yao na kutengenanishwa. Mawakili...

Gabon yatoka nyuma na kuiponza Kenya mechi ya kufuzu Kombe...

0
Safari ya Harambee Stars kufuzu kwa Kombe la Dunia mwaka 2026, ilianza kwa nuksi ya kucharazwa magoli 2-1 na wenyeji Gabon katika uga wa...

Harambee Stars yachapwa mabao 2-1 na Gabon

0
Timu ya taifa ya soka harambee stars imeshindwa mabao mawili kwa moja na wenyeji Gabon, katika mechi ya kwanza ya kufuzu kwa fainali za...

Kazi ipo Kenya ikikabana koo na Gabon kufuzu Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars itashuka ugani Franceville nchini Gabon leo Alhamisi usiku kwa mchuano wa kwanza wa kufuzu kwa fainali za...

Kocha Firat awaita wanandinga 28 kwa mechi za kufuzu Kombe la...

0
Kocha wa Timu ya Haifa ya Kenya, Harambee Stars Engin Firat,ametaja kikosi cha wanandinga 28 ,watakaowajibika katika mechi mbili za...

Gabon kuandaa uchaguzi mkuu baada ya miaka miwili

0
Waziri Mkuu mpya wa muda nchini Gabon Raymond Ndong Sima ametangaza kuwa uchaguzi mkuu huenda ukaandaliwa baada ya miaka miwili. Sima aliyeshika hatamu Alhamisi wiki...

Bongo aruhisiwa kusafiri Ulaya

0
Rais wa Gabon aliyetimuliwa mamlakani Ali Bongo Ondimba, ameachiliwa kutoka kifungu cha nyumbani na kuruhusiwa kusafiri kwenda Ulaya ili kupokea matibabu. Bongo aliyewekwa chini ya...

Dunia Wiki Hii: Jeshi la Gabon latangaza mapinduzi ya serikali

0
Jeshi la Gabon lapindua serikali ya rais Ali Bongo. https://art19.com/shows/taarifa/episodes/2338083f-7845-428e-95e5-6812a12696a1  

Kiongozi wa jeshi nchini Gabon apinga uwezekano wa kuandaa uchaguzi...

0
Kiongozi wa jeshi nchini Gabon amesema hana haraka ya kuitisha uchaguzi mpya kufuatia kung√°tuliwa mamlakani kwa Rais Ali Bongo. Bongo amewekwa kwenye kifungo cha nyumbani...

Uanachama wa Gabon katika AU wasitishwa

0
Umoja wa Afrika, AU umesitisha uanachama wa taifa la Gabon kufuatia hatua ya wanajeshi wa taifa hilo ya kupindua serikali ya Rais Ali Bongo. Mapinduzi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS