Tag: Fuel prices
EPRA yatangaza bei zilizopunguzwa za mafuta
Mamlaka ya kawi nchini EPRA imetangaza bei mpya za mafuta zilizopunguzwa na ambazo zitatumika kati ya Mei 15 na Juni 14 mwaka 2024.
Bei ya...
Serikali yapunguza bei ya mafuta
Serikali imetangaza bei mpya za mafuta zilizopunguzwa ambazo zitatumika kwa muda wa mwezi mmoja ujao.
Lita moja ya petroli imepunguzwa kwa shilingi 7 na senti...
Moses Kuria: Niwie radhi
Waziri wa biashara Moses Kuria ameomba wakenya msamaha kutokana na usemi wake katika mitandao ya kijamii.
Kuria alikuwa amechapisha taarifa kwenye mtandao wa X ambao...
Ushauri wa Khalwale kwa Rais Ruto
Seneta wa kaunti ya Kakamega Bonny Khalwale amemshauri Rais William Ruto awafute kazi waziri wa biashara, waziri wa kawi na washauri wake katika masuala...