Home Tags Francis Ogolla

Tag: Francis Ogolla

Marehemu Ogolla azikwa nyumbani Alego

0
Mkuu wa majeshi jenerali Francis Ogolla azikwa nyumbani kwake Alego Usonga, kaunti ya siaya akiwa na umri wa miaka 61. Ogolla alipewa heshima ya risasi...

Rais Ruto anongoza mazishi ya marehemu Mkuu wa Majeshi Francis...

0
Rais William Ruto amewasili katika kaunti ya Siaya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Francis Ogolla. Ruto amepokelewa na Gavana wakaunti ya Siaya...

Mwili wa Ogolla wawasilishwa nyumbani kwake tayari lwa mazishi

0
Mwili wa marehemu Mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla umewasilishwa nyumbani kwake kauntinya Siaya tayari kwa mazishi. Ogolla alifariki siku ya Alhamisi kupitia ajali ya...

Jenerali Ogolla alikuwa shupavu na mkakamavu, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto leo Jumamosi, amewaongoza wakenya kumwomboleza mkuu wa vikosi vya ulinzi marehemu Jenerali Francis Ogolla, aliyefariki Alhamisi kupitia ajali ya ndege katika...

Raila atoa wito wa kuchunguzwa kwa vifaa vya kiusalama

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga, ametoa wito wa kuchunguzwa kwa vifaa vya kiusalama, hususan ndege za kijeshi katika juhudi za kupunguza maafa zaidi, kufuatia...

Rais Ruto: Jenerali Ogolla alifanya mabadiliko makubwa jeshini

Rais William Ruto, amemsifu mkuu wa vikosi vya ulinzi marehemu Jenerali Francis Ogolla, akisema alifanya mabadiliko makubwa katika kipindi kifupi ambacho alihudumu wadhifu Mkuu...

Maandalizi ya mazishi ya marehemu Francis Ogolla yaanza

0
Kufuatia ajali ya helikopta ilisababisha kifo cha mkuu wa vikosi vya ulinzi Jenerali Francis Ogolla, wizara ya ulinzi imetoa ratiba ya shughuli zitakazofanyika kabla...

Mkuu wa Majeshi Ogolla kuzikwa Alego Jumapili

0
Mkuu wa majeshi majeshi Francis Ogolla aliyefariki Alhamisi atazikwa Jumapili hii April 21 nyumbani kwake Alego Usonga katika kaunti ya Siaya. Kulingana na ripoti rasmi...

Mfahamu Mkuu wa vikosi vya ulinzi aliyefariki Jenerali Francis Ogolla

0
Jenerali Francis Omondi Ogolla alijinga na vikosi vya ulinzi KDF Aprili 24 1984, na kisha akateuliwa Luteni wa pili Mei, 6, 1985 na kujiunga...

Mkuu wa vikosi vya ulinzi Francis Ogolla amefariki

0
Mkuu wa vikosi vya ulinzi hapa nchini KDF Jenerali Francis Ogolla, ameaga dunia leo Alhamisi katika ajali ya ndege eneo la Sindar kaunti ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS