Tag: France
Ufaransa yaunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara
Ufaransa imetangaza kuinga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara uliodumu miongo kadhaa baina ya Morocco na Algeria.
Haya yametangazwa mapema wiki hii na Rais wa...
Kenya kuandaa kongamano la Afrika na Ufaransa mwaka 2026
Kenya inatarajiwa kuandaa kongamano la Afrika na Ufaransa mwaka 2026 kwa mara ya kwanza tangu lizinduliwe mwaka 1973.
Itakua mara ya kwanza kwa kongamano hilo...
Malia Obama ahudhuria tamasha la filamu ya Deauville, Ufaransa
Malia Ann Obama binti wa kwanza wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, alihudhuria awamu ya 50 ya tamasha la filamu ya Deauville almaarufu...
EURO 2024: Takwimu muhimu za Ufaransa dhidi ya Poland
Juni 25, 2024, uwanja wa nyumbani wa klabu ya Borussia Dortmund kaskazini mwa Rhine-Westphalia nchini Ujerumani kutawaka moto wakati Ufaransa na Poland zitakapomenyana kwenye...
Ujerumani watwaa Kombe la Dunia kwa chipukizi chini ya miaka 17
Ujerumani wamenyakua Kombe la Dunia kwa vijana wasiozidi umri wa miaka 17 kwa mara ya kwanza baada ya kuwashinda Ufaransa mabao 6-5 kupitia penalti...
Ruto awataka walimwengu kuwa na ujasiri wa kukabiliana na mabadiliko ya...
Rais William Ruto amewataka watu wote ulimwenguni kuwa na ujasiri na kubuni mipango ya kimkakati katika harakati za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Kiongozi huyo...
Ufaransa,Ubelgiji na Ureno zatinga fainali za Euro mwaka 2024
Ufaransa,Ubelgiji na Ureno zilifuzu kwa fainali za kombe za la Euro za mwaka 2024 baada ya kusajili ushindi katika mechi za Ijumaa usiku.
Ufaransa ikicheza...
Ufaransa yaondoa majeshi yake Niger
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi yake itaondoa majeshi na balozi wake kutoka nchini Niger kufuatia mapinduzi ya Rais Mohamed Bazoum mwezi...
Makumi ya maelfu waandamana Paris
Makumi ya maelfu ya waandamanaji walijitokeza katika maaandamano ya Jumamosi katika mji mkuu wa Ufaransa Paris.
Maandamano hayo ni ya hivi punde ikiwa miezi mitatu...
Wenyeji Ufaransa wafungua kombe la dunia raga kwa ushindi
Wenyeji Ufaransa walifungua makala ya mwaka huu ya kombe la dunia katika raga ya wachezaji 15 kila upande kwa ushindi wa pointi 27-13 dhidi...