Home Tags FKFPL

Tag: FKFPL

Gor Mahia wahifadhi ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2023-2024

0
Klabu ya Gor Mahia  imehifadhi ttaji ya Ligi Kuu ya Kenya kwa ikifikisha mataji  21 ya  Jumapili jioni, baada ya kuilaza Muhoroni Youth mabao...

Mechi mbili za ligi Kuu FKF zafutiliwa uwanjani Kenyatta

0
Mechi mbili za Ligi Kuu nchini Kenya FKF zilizoratibiwa kusakatwa Jumapili alasiri katika uwanja wa Kenyatta kaunti ya Machakos, zimefutiliwa mbali kutokana na kulowa...

Kinyang’anyiro cha Ligi Kuu Kenya kurejea wikendi kwa awamu ya 26

0
Kinyang'anyiro cha Ligi kuu Kenya  kitarejea mwishoni mwa juma hili baada, ya mapumziko ya wiki mbili kupisha mechi za kimataifa na mechi za kombe...

Ligi Kuu ya Kenya yaingia mzunguko wa 24

Kinyang'anyiro cha Ubingwa wa Ligi Kuu ya FKF kinaingia raundi ya 24 mwishoni mwa juma hili . Jumamosi City Stars watawaalika Bidco United...

Matarishi Posta warejelea tambo za ushindi baada ya ukame wa mechi...

0
Posta Rangers wamesajili ushindi wa kwanza tangu Novemba 25, baada ya kuwazabua Ulinzi Stars mabao mawili kwa bila uwanjani Ulinzi Complex, katika mojawapo ya...

KBC kurusha mubashara mechi mbili za Ligi Kuu kila wiki

0
Wapenzi wa kandanda nchini Kenya watapata burudani isiyo na kifani kwa kupokea mubashara mechi mbili za Ligi Kuu ya FKF kila siku ya mechi. Kwenye...

KBC, FKF zasaini mkataba wa kurusha mubashara mechi za ligi kuu

0
Shirika la utangazaji nchini, KBC limesaini mkataba wa kupeperusha mubashara mechi za ligi kuu nchini Kenya, FKF bila malipo kuanzia mwishoni mwa juma hili...

Waziri Owalo kuikabidhi Gor Mahia basi la shilingi milioni 20 Jumamosi

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali Eliud Owalo  anatarajiwa kuikabidhi klabu ya Gor Mahia basi jipya la shilingi milioni 20 kesho Jumamosi...

Wanyama wote; Chui,Papa na Sofapaka wafumwa ligini

0
AFC Leopards maarufu kama chui,Kariobangi Sharks na Sofapaka AKA Batoto Ba Mungu, wamepoteza mechi za ligi kuu Kenya FKF za raundi ya kumi   zilizochezwa...

Posta wadinda kupigwa dafrau na wenyeji Homeboyz ligi kuu FKF

0
Posta Rangers wamelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Kakamega Homeboyz,katika mchuano wa pekee wa ligi kuu wa kati  kati ya wiki, uliosakatwa Alhamisi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS