Home Tags FKF

Tag: FKF

Vipusa wa Kenya watua nchini baada ya kuibwaga Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Rising Starlets, imewasili nyumbani leo Alasiri kutoka Adis...

Junior starlets kuchuana na Burundi Jumapili kuwania tiketi ya Kombe la...

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 itachuana na Burundi Jumapili jioni, katika mkumbo wa kwanza raundi ya nne...

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Mabanati wa Kenya waimarisha mazoezi kuikabili Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17, imeimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia...

KCB watinga fainali ya kombe la Mozzart huku nusu fainali kati...

0
Kenya Commercial Bank wamejikatia tiketi kwa fainali ya kombe la Mozzart bet baada ya kuwalemea Kariobangi Sharks magoli 4-2, kupitia matuta ya penati kufuatia...

Kocha Firat aelezea sababu ya Harambee Stars kuchezea mechi za nyumbani...

0
Kocha wa timu ya taifa Harambee stars Engin Firat, amesema wamelazimika kuchezea mechi za nyumbani nchini Malawi baada ya Kenya kukosa viwanja vinavyoafiki...

Firat amtema nahodha Olunga kutoka Harambee Stars

0
Kocha wa Harambee Stars Engin Firat  amemtema nahodha Michael Olunga kwenye kikosi cha wachezaji 25 kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026...

Gor Mahia wahifadhi ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2023-2024

0
Klabu ya Gor Mahia  imehifadhi ttaji ya Ligi Kuu ya Kenya kwa ikifikisha mataji  21 ya  Jumapili jioni, baada ya kuilaza Muhoroni Youth mabao...

Rangers watoka nyuma na kuwabwaga Homeboyz

0
Posta Rangers wametoka nyuma na kusajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kakamega Homeboyz katika mechiya kwanza ya raundi ya 31 kuwania ubingwa wa...

Kenya yakosa viwanja kwa mashindano ya kimataifa

0
Kenya inakabiliwa na ukosefu wa viwanja vya kuandaa mashindano ya kimataifa hususan katika mchezo wa riadha na soka. Hali hii imeleta mfadhaiko mkubwa kwa wachezaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS