Tag: Fire Incident
Wanandoa wafa moto Kiambu
Biwi la simanzi limegubika wakazi wa kijiji cha Laare huko Gitithia eneo bunge la Lari kaunti ya Kiambu baada ya mtu na mkewe kuchomeka...
Watu 16 wafariki kwenye moto katika jumba la biashara China
Watu wapatao 16 wamethibitishwa kufariki kwenye kisa cha moto katika jumba la biashara katika eneo la kusini magharibi mwa nchi ya China, haya ni...
Watoto wafariki kwenye mkasa wa moto Nyahururu
Mtaa wa mabanda wa Maina karibu na mji wa Nyahururu umeghubikwa na majonzi kufuatia mkasa wa moto uliosababisha vifo vya watoto wawili Jumapili alasiri.
Wawili...
Moto wateketeza nyumba huko Donholm Nairobi
Moto umeteketeza nyumba ya orofa mbili ya makazi katika barabara ya Manyanja eneo la Donholm jijini Nairobi.
Wapangaji wa nyumba za orofa hiyo waliweza kuokoa...
Moto wateketeza nyumba za makazi usiku huko Lang’ata
Familia kadhaa zimeachwa bila makazi baada ya moto kuteketeza nyumba zao usiku wa kuamkia leo katika eneo la Southlands, Kijiji eneo bunge la Lang'ata...
Familia 50 zaachwa bila makao Kiambu kufuatia mkasa wa moto
Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa na familia 50 kuachwa bila makao baada ya moto kuteketeza nyumba zao usiku wa manane katika kijiji cha Farmers...