Home Tags Finance Bill 2024

Tag: Finance Bill 2024

Mswada wa Fedha 2024: Serikali yadhihirisha ubabe bungeni

0
Serikali jana Alhamisi ilitumia ubabe wa wabunge wengi ilio nao bungeni kupitisha Mswada tata wa Fedha wa mwaka 2024 kwa ajili ya kusomwa kwa...

Kundi la wadukuzi la Anonymous laonya wabunge wa Kenya

0
Kundi la kimataifa la wadukuzi wa mitandao ambalo pia ni la uanaharakati limetoa onyo kwa wabunge wa Kenya kuhusu mswada wa fedha wa mwaka...

Wabunge kukamilisha kujadili Mswada wa Fedha 2024

0
Bunge la kitaifa linatarajiwa kukamilisha kujadili Mswada wa Fedha 2024 leo Alhamisi kabla ya kupiga kura Jumanne wiki ijayo. Mswada huo wenye utata umezua tumbojoto...

Mapendekezo tata kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2024 yarekebishwa

0
Mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu fedha Kimani Kuria ametupilia mbali mapendekezo kadhaa tata kutoka kwa Mswada wa Fedha wa 2024. Tangazo hilo lilitolewa baada...

Ushuru uliopendekezwa wa mkate waondolewa

0
Mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu fedha Kimani Kuria ametangaza kuondolewa kwa ushuru uliopendekezwa wa mkate kwenye mswada wa fedha wa mwaka 2024. Akihutubia wanahabari...

Eric Omondi akamatwa akiongoza maandamano nje ya bunge

0
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano ya kundi kwa jina "Mama Mboga Revolution" nje ya majengo ya bunge, alasiri ya leo. Omondi ambaye alikuwa amevaa...

Wakenya kulipia magari yao ushuru

0
Mswada wa kifedha wa mwaka 2024 unapendekeza ada mbali mbali ambazo wakenya watatozwa na kati ya matozo hayo ni ushuru wa gari. Kila mmiliki...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS