Home Tags FIFA

Tag: FIFA

Junior Starlets yafuzu kwa fainali za Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 almaaufu Junior Starlets imejikatia tiketi ya kushiriki fainali za Kombe...

Vipusa wa Kenya watua nchini baada ya kuibwaga Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Rising Starlets, imewasili nyumbani leo Alasiri kutoka Adis...

Mabanati wa Kenya wanusa Kombe la Dunia baada ya kuizabua Burundi

0
Vidosho wa Kenya wanakaribia kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya Kenya, kufuzu kwa fainali za kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17,...

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Mabanati wa Kenya waimarisha mazoezi kuikabili Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17, imeimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia...

Morocco yatangaza kikosi kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia

0
Kocha wa Morocco Walid Regragui ametaja kikosi cha Atlas Lions, kitakachoshiriki mechi mbili za mwezi ujao kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka...

Kenya yakosa viwanja kwa mashindano ya kimataifa

0
Kenya inakabiliwa na ukosefu wa viwanja vya kuandaa mashindano ya kimataifa hususan katika mchezo wa riadha na soka. Hali hii imeleta mfadhaiko mkubwa kwa wachezaji...

Gor Mahia wakaangwa tena, wafungiwa na FIFA kusajili wachezaji

0
Mabingwa mara 20 wa ligi kuu ya Kenya Gor Mahia wamejipata kwenye njia panda kwa mara nyingine tena, baada ya kufungiwa kusajili wachezaji na FIFA. Kwenye...

Manchester City watawazwa mabingwa wa dunia kwa mara ya kwanza

0
Klabu ya Manchester City ndio mabingwa wa kombe la dunia kwa mara ya kwanza, baada ya kuwazabua Fluminense FC ya Brazil, magoli manne...

Wanandinga wa mwisho wanaowania tuzo bora ya mwaka ya FIFA wabainika

0
Shirikisho la soka duniani FIFA, limetangaza orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka huu kwa wanaume na wanawake . Wanaowania tuzo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS