Home Tags Félix Tshisekedi

Tag: Félix Tshisekedi

Kenya na DRC ni washirika wakuu Afrika Mashariki, asema Mudavadi

0
Kenya imekariri kwamba itaendelea kuzingatia uhusiano wa karibu ulioko baina yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, aliyewasilisha ujumbe...

Judith Suminwa ateuliwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke DRC

0
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemteua Judith Suminwa Tuluka, kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke kama njia ya kutimiza ahadi...

Judith Suminwa Tuluka ateuliwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC Félix Tshisekedi amemteua waziri wa zamani kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo. Judith Suminwa Tuluka,...

Kagame akubali kukutana na Tshisekedi kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kujadili mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo, serikali...

Waziri Mkuu wa DRC Jean-Michel Sama Lukonde ajiuzulu

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu, ametangaza hatua hiyo katika video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya ofisi...

Rais Ruto ampongeza Tshisekedi kwa kushinda uchaguzi wa urais DRC

0
Rais William Ruto amempongeza Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi ulioandaliwa nchini humo Disemba...

Tshisekedi anusia muhula wa pili akiongoza kwa asilimia 76 ya kura...

0
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC Félix Tshisekedi amejihakikishia muhula wa pili afisini akiongoza kwa asilimia 76 ya kura zote za uchaguzi...

Maandamano yaendelea DRC kupinga matokeo ya kura za Urais

0
Maafisa wa polisi katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo waliendelea na makabiliano na wafuasi wa upinzani wanaotaka kufutiliwa na kurejelewa ...

Uchaguzi Mkuu wa DRC wagubikwa na vurugu

0
Uchaguzi mkuu ulioandaliwa Jumatano katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Congo, DRC uligubikwa na vurumai, maandamano na madai ya wizi wa kura. Katika baadhi ya vituo...

Raia wa DRC wapiga wapiga kura kumchagua Rais

0
Takriban wapiga kura milioni 44 watashiriki leo Alhamisi kwenye uchaguzi wa urais katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, ambao unawaniwa na wagombeaji 19....
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS