Home Tags Felix Koskei

Tag: Felix Koskei

Koskei: Serikali za kaunti zinawaajiri watu kwa misingi ya kujuana

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei ameelezea wasiwasi kuhusu visa vinavyozidi kuripotiwa vya ufisadi na kuajiriwa kwa watu kwa misingi ya kujuana kifamilia...

Koskei ataka hatua za kukabiliana na ufisadi kupewa kipaumbele

0
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amewataka Makatibu na Mahasibu serikalini kuzipa kipaumbele hatua za kupambana na ufisadi nchini.  Ametoa wito wakati ambapo serikali...

Wakenya wahimizwa kukumbatia mavazi ya ujana kongamano lao linapoanza

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Felix Koskei, amehimiza wakenya kukumbatia mavazi ya ujana kuanzia kesho hadi sikukuu ya Jamhuri Disemba 12, 2023 wakati...

Koskei: Hakuna atakayesazwa katika vita dhidi ya ufisadi

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei, amesema kuwa vita dhidi ya ufisadi vitaimarishwa. Koskei aliyekuwa akihutubu kwenye warsha ya wanahabari kuhusu uhalifu na uongozi...

Koskei awatimua wakurugenzi sita na maafisa 67 wa polisi

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei, amewasimamisha kazi maafisa sita wakuu watendaji na maafisa 67 wa polisi kwa kuhusika na ufisadi na makosa...

Koskei: Mabadiliko ya kidijitali yataepusha kupotea kwa mapato

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei, ametoa changamoto kwa wadau katika sekta ya habari, mawasiliano na uchumi dijitali kuharakisha mabadiliko ya kidijitali. Kulingana na...

Serikali kubuni jopokazi la kubaini pesa zinazopotea kwa siku nchini

0
Kuna mipango ya kubuni jopokazi la kubaini ni pesa ngapi za umma ambazo hupotea kwa siku humu nchini.  Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei...

Wadau katika sekta ya ujenzi watakiwa kuzingatia maadili ya taaluma zao

0
Kuna haja kwa wadau katika sekta ya ujenzi kuzingatia viwango vya juu vya uadilifu na utaalam katika utendakazi wao.  Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix...

Wachukulieni hatua polisi wafisadi, aagiza Koskei

0
Inspekta Mkuu wa Polisi Japhet Koome ameagizwa kufanya kila awezalo kuhakikisha maafisa wanaowapora Wakenya pesa zao wakati wa zoezi la kuwaajiri maafisa wapya wa...

Mageuzi katika sekta ya kahawa yanaendelea, asema Rigathi Gachagua

0
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amesema serikali haitazuiwa katika harakati za kuboresha maslahi ya wakulima. Akizungumza katika mkutano na wadau wa sekta ndogo ya kahawa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS