Home Tags Faith Kipyegon

Tag: Faith Kipyegon

Washindi wa dhahabu ya Olimpiki kutuzwa shilingi milioni 6

0
Shirikisho la Riadha Ulimwenguni limetangaza zawadi ya pesa  ya shilingi milioni 6.5 kwa kila mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki kaunzia kwa  makalaya...

Kiptum na Kipyegon watuzwa wanariadha bora wa mwaka Afrika

0
Mshikilizi wa rekodi ya Marathon Kelvin Kiptum  na bingwa mara mbili  wa Olimpiki  katika mbio za mita 1,500  Faith Kipyegon,  ndio wanariadha bora wa...

Faith Kipyegon apatiwa tuzo ya juu zaidi ya Rais

0
Mwanariadha Faith Kipyegon ametunukiwa tuzo ya hadhi ya juu zaidi ya Rais inayojulikana kama "Elder of the Order of the Golden Heart of Kenya...

Kipyegon atuzwa bora ulimwenguni

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Faith Kipyegon,alitawazwa mwanariadha bora wa mwaka katika mashindano ya uwanjani . Kipyegon alikuwa na mwaka wa kufana akivun ja...

Kipyegon aorodheshwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka kwa vidosho

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon ameteuliwa katika orodha ya mwisho ya wanariadha watano wanaowania tuzo ya mwanariadha...

Kipyegon ateuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon ameteuliwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora wa mwaka huu kwa wanawake. Kipyegon ambye...

Kipyegon na Kipkorir waridhia shaba mbio za barabara duniani

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1500 Faith Kipyegon na Nicholas Kipkorir, wamenyakua medali za shaba katika makala ya kwanza ya...

Prefontaine Classic Diamond League: Kipyegon, Koech watwaa ubingwa, Omanyala amaliza wa...

0
Bingwa mara tatu wa dunia karika mbio za mita 1500 Faith Kipyegon alinyakua taji ya Diamond League kwa mara ya tano, baada ya kuibuka...

Kipyegon na Chepkoech kufunga msimu Eugene Jumamosi

0
Bingwa mara tatu wa dunia katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon na mshindi wa nishani ya fedha ya dunia katika mita 3,000 kuruka...

Wanamichezo watuzwa shilingi milioni 32 na Rais Ruto

0
Rais William Ruto amewatuza wanamichezo waliofanya vyema  kimataifa kitita cha shilingi milioni 32  siku ya Ijumaa wakati wa hafla ya kuzindua jengo la Talanta...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS