Home Tags Ezekiel Machogu

Tag: Ezekiel Machogu

Takriban shule 2,000 kukosa kufungua kwa muhula wa pili Jumatatu

0
Angaa shule 2,155 huenda zikakosa kufungua kwa muhula wa pili Jumatatu Mei 13 ilivyopangwa. Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu, amesema huenda asilimia tano ya shule...

Serikali kufanyia mabadiliko kalenda ya shule kufidia muda uliopotea

Waziri wa elimu, Ezekiel Machogu, ametangaza kwamba serikali itaongeza muda wa muhula wa pili ili kufidia muda uliopotea baada ya kuahirishwa kufunguliwa kwa shule...

Wasimamizi wa shule waagizwa kuhakikisha usalama wa wanafunzi

0
Waziri wa elimu Ezekiel Machogu, amewaagiza wakuu wa shule kuhakikisha usalama wa wanafunzi ambao tayari wamewasili shuleni. Serikali siku ya Ijumaa, iliaahirishwa kufunguliwa kwa shule...

Serikali imeahirisha tarehe ya ufunguzi wa shule hadi Mei 6

0
Serikali imeahirisha tarehe ya kufunguliwa kwa shule hadi siku ya Jumatatu tarehe sita mwezi Mei. Kulingana na kalenda ya elimu, tarehe ya kufunguliwa kwa shule...

Waziri Machogu kutangaza matokeo ya mtihani wa CBET

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu siku ya Alhamisi anatarajiwa kutangaza matokeo ya mtihani wa elimu ya umilisi kwa wakufunzi, Competency-Based Education and Training maarufu...

Matokeo ya tathmini ya KPSEA yatolewa

Baraza la kitaifa la mtihani hapa nchini-KNEC limetoa matokeo ya mtihani wa kutathmini wanafunzi wa gredi ya sita (KPSEA) wa mwaka-2023. Wazazi pamoja na...

Waziri Machogu alalama ongezeko la uvamizi shuleni

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amelalamikia ongezeko la visa vya uvamizi wa shule kutokana na matokeo duni katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha...

Rais Ruto aweka jiwe la msingi katika shule ya msingi ya...

0
Rais William Ruto siku ya Jumatatu, aliweka jiwe la msingi katika shule ya msingi ya Kamagut alikoanzia elimu yake. Shule hiyo inatarajiwa kufanyiwa ukarabati...

Machogu asikitishwa na idadi kubwa ya wanafunzi waliopata alama ya E

0
Waziri wa elimu, Ezekiel Machogu ameagiza uchunguzi ufanywe kuhusu matokeo duni ya zaidi ya watahiniwa 48,000 katika mtihani wa KCSE mwaka 2023. Akiongea katika...

Waziri Machogu kuzindua uteuzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza Jumatatu

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu ametangaza kuwa zoezi la uteuzi wa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza litaanza Jumatatu ijayo Disemba 17. Waziri Machogu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS