Home Tags EURO 2024

Tag: EURO 2024

Wenyeji Ujerumani ndani ya raundi ya pili michuano ya Euro

0
Waandalizi wa makala ya 17 ya fainali za kuwania kombe la bara Ulaya Ujerumani, wamefuzu kwa hatua ya mwondoano baada ya kusajili ushindi wa...

Ureno na Uturuki zanyofoa Czechia na Georgia mtawalia

0
Timu za Ureno na Uturuki zilihitimisha awamu ya kwanza ya mechi za makundi ya kipute cha bara Uropa kinachoendelea nchini Ujerumani kwa ushindi dhidi...

Uingereza na Uholanzi watamba

0
Timu ya Uingereza na Uholanzi walianza vyema kampeni ya kusaka taji la Uropa katika kinyanganyiro kinachoendelea nchini Ujerumani kwa kulaza Serbia na Poland mtawalia. Kwenye...

Uhispania, Uswizi na Italia wavuna ushindi

0
Kipute cha mataifa bingwa ya bara Europa kinachoendelea nchini Ujerumani, kiliingia siku ya pili hapo jana na kuandikisha matokeo mseto. Katika mchuano wa kwanza,...

Ronald Koeman atupia Barcelona lawama kisa De Jong

0
Kocha wa zamani wa Barcelona Ronald Koeman ameilaumu klabu ya Barcelona kwa jeraha la kiungo wa Uholanzi Frenkie de Jong ambalo limemfanya kukosa kushiriki michuano...

Fahamu kuhusu kipute cha EURO mwaka 2024

0
Mataifa 24 yatashiriki makala ya 17 ya fainali za kuwania kombe la Euro nchini Ujerumani, kuanzia Ijumaa hii Juni 14 hadi Julai 14. Mabingwa mara...

Ufaransa na Uhispania zatamba katika maandalizi ya Euro

0
Ufaransa na Uhispania zilitia fora katika matayarisho ya mwisho mwisho kabla ya fainali za kombe la Euro kuanzia Juni 14 mwaka huu. Ufaransa ikicheza nyumbani...

Uhispania, Scotland na Uturuki wafuzu kwa fainali za Euro 2024

0
Uhispania ukipenda La Roja, Scotland na Uturuki zilijikatia tiketi kwa kipute cha fainali za kombe la Euro mwaka ujao nchini Ujerumani, baada ya mechi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS