Home Tags ETHIOPIA

Tag: ETHIOPIA

Vipusa wa Kenya waibwaga Ethiopia na kukaribia kufuzu kwa kombe la...

0
Timu ya Taifa ya soka ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 imekaribia kufuzu kwa fainali za kombe la Dunia,baada ya kuibwaga Ethiopia magoli...

Ethiopia yaondoa amri ya kutotoka nje katika jimbo la Amhara

Kituo maalum kinachosimamia usalama na hali ya dharura iliyotangazwa katika jimbo la Amhara kaskazini magharibi mwa Ethiopia, limeondoa amri ya kutotoka nje iliyowekwa katika...

Ethiopia kuwarejesha nyumbani raia 70,000 kutoka Saudi Arabia

0
Ethiopia imehiari kuwarejesha nyumbani raia wake 70,000 ambao wamekuwa wakiishi kwa hali duni nchini Saudi Arabia. Shughuli hiyo itaanza rasmi mwezi Aprili. Yamkini raia...

Uchaguzi wa AUC: Mawaziri wa Mambo ya Nje waanza kikao Ethiopia

0
Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wameanza kikao kisichokuwa cha kawaida kinachofanyika katika makao makuu ya Umoja wa Afrika, AU...

Mudavadi: Kenya na Ethiopia kuimarisha uhusiano

0
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amefanya mashauriano na mwenzake wa Ethiopia Balozi Taye Atseke-Selassie, ambapo walijadiliana kuhusiana na uimarishaji wa uhusiano kati...

Wafungwa wa 85 wa Ethiopia walio gerezani Kajiado wasusia chakula

0
Wafungwa 85 raia wa Ethiopia walio katika gereza la Illasit, kaunti ya Kajiado wakisubiri kurejeshwa nyumbani  wamesusia chakula. Wafungwa hao, wakiwemo wanaume na wanawake, walikamatwa...

Kenya na Ethiopia zatia saini mikataba ya maelewano

0
Kenya na Ethiopia zimetia saini mikataba saba ambayo itaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili. Mikataba hiyo ilisainiwa wakati wa mapokezi ya waziri mkuu...

Mudavadi atua Ethiopia, nchi hizo mbili zalenga kuboresha uhusiano

0
Kinara wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amewasili mjini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ziara rasmi nchini humo.  Punde...

Raia wa Ethiopia hawatalipa ada ya ETA kuingia Kenya

0
Raia wa Ethiopia wanaozuru hapa nchini, sasa hawatalipa dola 30 ambazo wageni wanaoingia hapa nchini hulipa, kupitia mfumo wa kielektoniki ETA. Balozi wa Ethiopia nchini...

Rais Ruto asema Afrika imejitambulisha katika suala la mabadiliko ya tabianchi

0
Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba katika muda wa mwaka mmoja uliopita Afrika imejitambulisha vilivyo katika masuala ya mabadiliko ya tabianchi. Kulingana naye utambulisho...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS