Home Tags Ethanol

Tag: Ethanol

Polisi Kiambu wanasa kemikali ya Ethanol

Maafisa wa polisi wa eneo la Juja katika kaunti ya Kiambu wamenasa lita 8,750 za kemikali ya Ethanol, katika kijiji cha Mugutha. Kemikali hiyo ambayo...

Lita 750 za Ethanol zanaswa Kiambu

0
Shirika la kupambana na matumizi ya pombe na mihadarati nchini, NACADA limenasa lita 750 za kemikali aina ya Ethanol katika nyumba moja huko Ruaka,...

Maafisa wa KRA wapata Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo

0
Maafisa wa shirika la kukusanya ushuru nchini, KRA wamesema kwamba wamepata kemikali aina ya Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo. Lita hizo elfu 13 za Ethanol zilipatikana...

Wavulana waliofariki baada ya kubugia Ethanol wazikwa leo

0
Miili ya watahiniwa wawili wa mtihani wa kidato cha nne KCSE ambao walifariki baada ya kubugia Ethanol wiki jana imezikwa leo. Wavulana hao wawili walikuwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS